USHAURI: Nimepigwa na fundi, nimchukulie hatua gani?

Wakati yeye ananunua labda bei zilikuwa juu. Wewe ulipoenda Kununua bei zilikuwa zimeshuka.
 
Hakuna biashara ya hivyo duniani acha kumpotosha jamaa
 
mkuu hadi unatoa fedha maana yake ulisha kubali bei mpotezee sema liwe somo kwako
 
Mkuu nahisi ungeulizia dukani bei za square pipes badala kuwaulizia jamaa wa hapo kwenye workshop. Mara ya mwisho nimenunua square pipe ya 1' x 1' kwa tsh 18000, 1' x 1.5' kwa tsh 22000 na 1.5' x1.5' kwa tsh 28000. Hii ilikuwa miezi miwili ilopita.
Pia, hizi square pipes kama ilivyo kwa chuma zingime, zinakuwa na quality tofauti. Zipo bomba nyepesi na zipo zile ambazo huwa zina mark nene kidogo ( nzito). Hizi nyepesi bei huwa inakua chini kuliko hizo zingine. Sasa ni vyema kujua fundi alinunua zipi.
 
Tanzania n watu wake yani umeshindwa kabisa kujua bei kabla kweli.
Ndio nyie mnasema ujenzi bei kubwa mnooo kumbe tatizo n nyie kupigwa n mafundi.
Cku zoooote mm nachunguza bizaa kabla y kufika kwa fundi. Na ujenzi wng fundi tunakubaliana ufundi wake tu material n mm mwanzo mpk mwisho.
Sasa ww tulia n tekeleza makubaliano yenu tu
 
Fuata huu ushaur, au muache afanye kazi usimlipe hiyo 100k iliyobaki mfanyie ukauzu tu... Mwambie wew sio boya
 
So kufanya hivyo ndio unahisi haupigwi? kupigwa unapigwa ila ww haujui bt ktk ujenzi kupigwa hakukwepeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…