kekule benzene
JF-Expert Member
- Sep 28, 2016
- 1,970
- 4,448
++ Poor infrastructure ππUmesahau poor gorvement support
Kweli mkuu. AsanteBado una miaka 8 hadi 10 ya kuona wanawake wenye sifa kama za huyo anayekukaanga saizi. Ongeza umri na pesa. BTW huo umri wako ndio ule umri wa ukinywa maji unamuona kwenye glass.
ππ++ Poor infrastructure ππ
[emoji23][emoji23][emoji23] wee umevurugwaa?? Sasa huo umri ndo ubabaishwe hivyo? Vipi nae mdada ana umri gan?
Nashukuru sana. Hili nishalionaUsipoachana nae. Utakuwa mtumwa wake huna haja ya kupokea Amri kwa mwanamke Tafuta mwingine
ππNakazia
Sele fata huu ushauri Selemani See