Ushauri: Nina Diploma ya Ualimu masomo ya sayansi, ni kozi gani naweza kusoma kwa ngazi ya Degree?!

Ushauri: Nina Diploma ya Ualimu masomo ya sayansi, ni kozi gani naweza kusoma kwa ngazi ya Degree?!

Complicator

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
2,198
Reaction score
3,580
Wadau Nina diploma ya ualimu (physics&chemistry) fresh from college,naombeni ushauri wa kozi gani za sayansi degree naweza soma kwa kutumia diploma hii tofauti na ualimu.
 
Back
Top Bottom