Ushauri: Nina I.9 kidato cha nne, nataka kusoma Diploma

Ushauri: Nina I.9 kidato cha nne, nataka kusoma Diploma

Hongera, kasome Diploma, upate ujuzi.
Ukitaka kuendelea na masomo zaidi, utaendelea na degree huko mbeleni.
 
Naombeni ushauri wanaJF, nina I.9 O level na nataka niende Diploma coz uwezo wangu mkubwa upo kwenye vitendo kuliko kukariri.
Unataka Ushauri upi wakati ushafanya maamuzi. "NATAKA NIENDE DIPLOMA". NENDA TU. Ila utaanzia astashahada (certificate) ukifaulu ndipo Dip. Form 6 ndiye huenda Dip direct
 
Unataka Ushauri upi wakati ushafanya maamuzi. "NATAKA NIENDE DIPLOMA". NENDA TU. Ila utaanzia astashahada (certificate) ukifaulu ndipo Dip. Form 6 ndiye huenda Dip direct
Hata form 6 haendi diploma direct, anaanzia technician certificate ndio aende diploma.

Form 4 wao huanzia basic certificate, technician certificate then diploma.
 
Unataka Ushauri upi wakati ushafanya maamuzi. "NATAKA NIENDE DIPLOMA". NENDA TU. Ila utaanzia astashahada (certificate) ukifaulu ndipo Dip. Form 6 ndiye huenda Dip direct
Inategemea na kada
Hata form 6 haendi diploma direct, anaanzia technician certificate ndio aende diploma.

Form 4 wao huanzia basic certificate, technician certificate then diploma.
Hii sio kwa kozi zote, zingine hata utoke form VI lazima uanze basic certificate
 
Dogo una akili na mjanja sana

Kama umesoma sayansi.

Nenda DIT kasome diploma ya Mechanical engineering , ama electrical engineering

Pia kama unapenda IT nenda kasome diploma ya IT
 
😂😂😂😂😂😂dogo bwana. Nenda six ww. Achanana hzo stry utachelewa. Ingekua poa ila utachelewa, though nimeona ajira za diploma leo
 
Naombeni ushauri wanaJF, nina I.9 O level na nataka niende Diploma coz uwezo wangu mkubwa upo kwenye vitendo kuliko kukariri.
Diploma in Engineering - Civil, Computer/ICT, Electrical, Cyber security

Diploma in health- Clinical Medicine, Pharmacetical/phamarcy.
Diploma in Law , BBA - Finance & Accounting, Economics.

Diploma in Science Education - Physics & Mathematics, Chemistry & Biology or Chemistry & Mathematics.
 
Hata kama unaenda diploma nenda kwenye vyuo vya serikali vyenye gharama nafuu mfano
Afya-Muhimbili
Uhandisi-DIT, MUST
 
Acha dharau mkuu Moderator pitieni nyuzi za huyu jamaa anidhihaki watu na kukejeli watu.

Huwezi kuwa mstaarabu don't reply on people's thread if you don't have what to tell them.

Kuna wadau wanahitaji ushauri unavyojibu kwa kejeli haileti picha nzuri on this community man.
 
Back
Top Bottom