Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,373
- 6,532
Export business ndio Habari ya mujini. Nina export mazao ya biashara nchini za nje . nahitaji partner . tuwasiane 0655308308.Hi wapendwa kwa rehma zake mwenyezi Mungu, nimepata haka kamzigo naomba ushauri ili kesho yangu iwe na kheri niwekeze katk biashara gani na mtaji huu
asanteni kwa maoni
wako wenye testimony za kufanikiwa kupitia hii biashara ya vipande?Nunua vipande katika mfuko wa umoja kama Wekeza au Jikimu uwe unapata gawio kila baada ya miezi 3 huku mtaji wako ukizidi kuongezeka
inafanyikaje hii ndugu, au ndio hadi tuonane face to face?Aisee njoo brother nikushauri ,nitakulengesha kila hatua. ila utanilipa 1M for consultation and showing you bussiness channels .then tuingie agreement ya 6% of your annual profit.only for first year.
my friend wewe ni millionea and after 8 months you will become a billionea ,Displine katika pesa inahitajika.
Usifanye biashara za kuumiza kichwa na kulaumiana na watu,tafuta uwanja mkubwa na ujenge apartiment tu basi...utatumia hiyo pesa wewe mpaka wajukuu zakoHi wapendwa kwa rehma zake mwenyezi Mungu, nimepata haka kamzigo naomba ushauri ili kesho yangu iwe na kheri niwekeze katk biashara gani na mtaji huu
asanteni kwa maoni
moja linauzwa tsh ngapi?Mkuu, hongera sana. Nenda pale TATA, kawaone wakuuzie mabasi mawili... Unalipa advance kama mia arobaini na nyingine utamalizia. Ukinunua zile basi zinaweza kukaa miaka mitano zikapiga kazi fresh tu. Ila kabla hujazitia barabarani, hakikisha unazikatia BIMA kubwa...
Kwa siku gari inaleta laki mbili, so kwa mwezi unahesabu milioni sita kwa basi moja na kwa mwaka ni milioni 72 (Toa gharama nyingine unabaki na kama 50M) kwa mwaka. Kwa miaka mitano unagenerate kama M 250 kwa basi moja.
Unajivika umajinuni kwa nn? Chanzo kimoja wapo ni hicho mtu kauza mali yake ya halali ya urithi, mtu kapata fidia nzuri mahali, mtu kacheza m-bet kapata mzigo, kwann asiulize wachumi cha kufanya?Hivi kuna mtu mwenye hizo hela afu hajui afanye nini?
Au mmeuza nyumba ya urithi?
Alikua na nyumba kinondoni kauza 300M kajenga Mbezi Makabe zimebaki hizoHizo M 150 ulizipata wapi? Wekeza ulikozipata hizo...
Sijui. Wachek hapo chini uwaulize...moja linauzwa tsh ngapi?
Umeokota au umerithi? Ingekua umetafuta kwa jasho usingeshindwa kujua uzifanyie niniHi wapendwa kwa rehma zake mwenyezi Mungu, nimepata haka kamzigo naomba ushauri ili kesho yangu iwe na kheri niwekeze katk biashara gani na mtaji huu
asanteni kwa maoni
Biashara hii inahitaji uwe umeshapumzika kutafuta pesa.WEKEZA KATIKA VIWANJA NA NYUMBA.HAPO UNQ NYUMBA KAMA SITA HIVI ZA KITANZANIA ZILIZO BORA.HUU NDO UTAJIRI USIO NA HASARA
Juzi nimepita Access bank FDR account ya 5M unapata return ya 11.2% kwa 30days na 11.5% kwa 60days 11.8% for 90days kwa miezi sita na kumi na mbili sikumbuki vizuri unaweza kuwafuatilia kama uko serious naweza kupa namba zao ukawatafutaSamahani mkuu, kwa mfano ukiweka mil 5 kwenye hiyo fixed deposit kwa mwezi unapata return bei gani?
Huu ni uoga wa kufanya biashara.Me nakushauri wekeza katika fixed deposit utapata 21,000,000 kama retun ambapo ukiongea nao vizuri utapata 1,750,000 kila mwezi hiyo ni retun tuu apo nazungumzia return ya 14% na unaweza pia chukua hiyo 21 milion up front ukitaka for 1 year