Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
Ili uwe na uhakika na return nzuri, hebu nikopesha hizo pesa kwa riba nzuri nzuri tu....15%- 17% mimi nitakuwa nakulipa kila mwezi. Biashara yangu mimi nikutoa mikopo midogo midogo.
Unataka ukakopeshe watu kwa riba ya 30% mwisho wake mnaishia kuuza sofa za watu na TV za mwaka 47
mkuu, hongera kwa kubahatika, pili naomba ungejieleza upo wapi? una shughuli gani? una uzoefu gani? ulishawahi kufanya biashara yoyote? binafsi ulishawahi kuwa na mawazo gani ya biashara? unapenda nini? umeoa/ kuolewa? ....... amini kuwa BIASHARA YA KUFANYA INATEGEMEA MTU NA MTU NA MAZINGIRA ALIYONAYO, SI KILA ANACHOKIFANYA MWINGINE NA WEWE UTAWEZA AMA SI KILA ANACHOSHINDWA MWINGINE NA WEWE KITAKUSHINDA.
Kuoa na kuolewa kuna mahusiano gani na ombi lake?
mkuu, hongera kwa kubahatika, pili naomba ungejieleza upo wapi? una shughuli gani? una uzoefu gani? ulishawahi kufanya biashara yoyote? binafsi ulishawahi kuwa na mawazo gani ya biashara? unapenda nini? umeoa/ kuolewa? ....... amini kuwa BIASHARA YA KUFANYA INATEGEMEA MTU NA MTU NA MAZINGIRA ALIYONAYO, SI KILA ANACHOKIFANYA MWINGINE NA WEWE UTAWEZA AMA SI KILA ANACHOSHINDWA MWINGINE NA WEWE KITAKUSHINDA.
Kuoa na kuolewa kuna mahusiano gani na ombi lake?
Kabla ya kushauri uwe unaangalia thread ni ya mwaka ganiChukua M50 weka katika Treasury Bond upate 13.50% kwa mwaka. Nyingine tumia kidogo kidogo na unapata iyo asilimia. Ambayo ni sawa Million 6.75
Kwa iyo kama 2012 asipewe ushauriKabla ya kushauri uwe unaangalia thread ni ya mwaka gani
Kwa iyo kama 2012 asipewe ushauri
Watu wanaogopa kuja PM wanaogopa kukabwaNjoo pm chap
Ku_fixed hela bank kwa mlengo wa kutuliza akili ni wazo bovu na sio bora pia, thamani ya pesa tends to drop its value depends on time duration, bidhaa uliyonunua leo haitakua na thamani sawa mpaka mwakani in which kwa kiasi hicho hicho unawwza kuizalisha million 80 vizuri sahivi kuliko baada ya mwaka mmoja, tatizo tunasoma lakini hatuna uwezo wa kuitumia elimu yetu vizuri......tungejua uko wapi, namaanisha mkoa au hata wilaya, au una access na maeneo gani ingekuwa rahisi zaidi kukushauri kwani fursa zinatofautiana kulingana na mahali ulipo
lakini kama ndo kwanza umezipata, nakushauri uzitafutiea fixed account ya hata mwaka mmoja ili akili itulie kwanza, maana kiukweli ukipata hela kama hiyo bila kuwa na wazo au kutegemea, kwanza unaweweseka, na ukija kukaa sawa imebaki m10, hapo unapata frustration, ukija kujipanga zimekata na hapo ndo utakuwa maskini milele maana wansema opportunity never come twice
lakini kama uko dar, angalia biashara ambayo unaweza kuwa na uzoefu nayo, au unaweza kuimudu kwa muda mfupi, na usijaribu kuwaamini watu au mtu yeyote katika biashara, na usijaribu kumuagiza mtu sijui dubai, au china wala singapore itakula kwako mkubwa (nina wafahamu watu zaidi ya 7 ambao wameachwa njiani kwa kuagiza au kuamini watu kwa hela nyingi)
kwa sasa mkuu nakushauri uchukue m70 weka kabisa fixed account ya mwaka, na hiyo m10 tumia kufanya test za biashara, au kutafutia ujuzi wa biashara kama kuwaona wataalamu wa biashara, kufanya kozi fupi za ujasiriamali na kupata exposure ya biashara tofauti tofauti
Kama utakuwa tayari unaweza kuni PM pia naweza kukusaidia kwa njia moja au nyingine (ingawa kwa sasa sipo nchini - niko Uholanzi kwa masomo ya mda mfupi - narudi mwezi wa saba, na pia ni mwl wa masomo ya biahsara katika moja ya vyuo vikuu hapo bongo) so sitahitaji ujira, wala kujua hela yako ilipo wala taarifa zako za kibenki, uwe na amani kuwa utakuwa na mtu mpenda maendeleo.
Hongera pia kwa kupata mtaji mkuu, komaa uuzalishe maana bongo ni ngumu, na kwa kweli ni dunia nzima, maana hata huku si shwari sana
Chukua tahadhari TRA wanaweza kuja kuhesabu hizo hela kwa madai ya kukwepa kodi, hata kama bado hata fremu haujawa nayo tayari.Ndugu wana Jf,nimebahatika kupata million 80.Naomba msaada wa biashara gani nifanye ili nisiwe tena Maskini.