Man in black
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 361
- 378
Heri ya mwaka mpya wakuu niwatakie 2020 yenye mafanikio tele kimwili na kiroho.
Haya back to the subject, mimi ni mzoefu wa magari kiasi fulani hapa nimekuja nipate mawazo ya wadau ili kuongeza options, budget ni M10 hebu naombeni recommendation ya gari ipi itanifaa kwa bei hio. ahsanteni na Wkend njemaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nunu ist mkuu kwa hiyo 10 mil utapata gari showroom ikiwa imelipiwa ushuru tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia gari ambazo zipo nyingi hapa nchini kwetu na ambazo upatikanaji wake wa spare parts ni rahisi na pia angalia ulaji wake wa mafuta, hapa unaweza kufikiria gari kama vile ist, carina ti, premio , noah, rav 4 na nyingine nyingi lakini pia jambo la msingi ni kukumbuka njia zetu ambazo utakuwa unatumia kuendeshea gari yako muda mwingi ili uweze kufanya choice nzuri kma ni gari ya juu au hata ya chini pia yangu ni hayo lkn kwa mm ningekushauri uchukue Toyota Carina TI hutakuja kujutia pesa yako bro.Heri ya mwaka mpya wakuu niwatakie 2020 yenye mafanikio tele kimwili na kiroho.
Haya back to the subject, mimi ni mzoefu wa magari kiasi fulani hapa nimekuja nipate mawazo ya wadau ili kuongeza options, budget ni M10 hebu naombeni recommendation ya gari ipi itanifaa kwa bei hio. ahsanteni na Wkend njemaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ni gari bora kwa wabahili mkuu na wanaooenda kujibana banaHili gari linapondwa sana na washamba lakini ni gari bora na stable kwa min car zote kwa sasa bongo...
Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
Hili gari linapondwa sana na washamba lakini ni gari bora na stable kwa min car zote kwa sasa bongo...
Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
Vifaa vyake ndo tatizo huku Mkoani kwetu lindiNissan Tiida?
HEMI STR8Kila la heri katika kulisaka gari la ndoto yako ila mi siku niziangukia za kutosha ni mwendo wa Dodge Ram, Chevrolet Silverado au Ford F-Series hasa SVT Raptor. Ndo vyombo navyotamani kutumia kwa matembezi
Volkswagen Polo na Passat? Vipi kuhusu Subaru Impreza?Nissan Tiida?.Sikubaliani na wewe.....huwezi kusema kuwa IST ndiyo gari bora ndogo kuliko gari zote bongo...
Vipi kuhusu Volkswagen Polo na Passat? Vipi kuhusu Subaru Impreza?Nissan Tiida?....hizi ni baadhi tu ya gari ndogo zinazofanya vizuri...uwe tu na hela ya kuzihudumia huduma stahiki..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikubaliani na wewe.....huwezi kusema kuwa IST ndiyo gari bora ndogo kuliko gari zote bongo...
Vipi kuhusu Volkswagen Polo na Passat? Vipi kuhusu Subaru Impreza?Nissan Tiida?....hizi ni baadhi tu ya gari ndogo zinazofanya vizuri...uwe tu na hela ya kuzihudumia huduma stahiki..
Sent using Jamii Forums mobile app
πππME: Hiyo hela bora uwekeze kwenye kilimo cha matikiti maji ambapo kwa ekari moja utavuna matikiti 2000*2000= 4,000,000. Utapata milioni 8 kama faida ukilima ekari 2.
YOU:Brother mimi nimetaka ushauri wa gari sijaomba kupewa summary za kilimo, pili hujui mfuko wangu ukoje wewe kama unataka kilimo tafuta mtaji wako ulime.
ME: Hiyo milioni 10 unaweza kujenga nyuma ya vyumba vitatu au kupata kiwanja eneo zuri na mwisho wa siku ukauza kwa faida.
YOU: Aliyekwambia sijajenga nani? Hadi nanunua usafiri tayari nina nyumba na viwanja viwili, bro hatuko level moja.
TAFUTA GARI ZURI AMBALO MWENYEWE UNAPENDA, 10M UTAPATA CHOMBO CHA UHAKIKA.
[emoji4][emoji4][emoji4] Nini tena.[emoji23][emoji23][emoji23]
Safi mkuu...jinga sn hilo et lenyew ndo linajua maisha kumbe hamna lolote hata kilimo halijui bahat nasibuME: Hiyo hela bora uwekeze kwenye kilimo cha matikiti maji ambapo kwa ekari moja utavuna matikiti 2000*2000= 4,000,000. Utapata milioni 8 kama faida ukilima ekari 2.
YOU:Brother mimi nimetaka ushauri wa gari sijaomba kupewa summary za kilimo, pili hujui mfuko wangu ukoje wewe kama unataka kilimo tafuta mtaji wako ulime.
ME: Hiyo milioni 10 unaweza kujenga nyuma ya vyumba vitatu au kupata kiwanja eneo zuri na mwisho wa siku ukauza kwa faida.
YOU: Aliyekwambia sijajenga nani? Hadi nanunua usafiri tayari nina nyumba na viwanja viwili, bro hatuko level moja.
TAFUTA GARI ZURI AMBALO MWENYEWE UNAPENDA, 10M UTAPATA CHOMBO CHA UHAKIKA.
You're right....hata mimi simshauri mtu anayeishi nje ya mikoa uliyotaja kumiliki gari tofauti na Toyota... unless kama kipato chake ni kikubwa sana..Volkswagen Polo na Passat? Vipi kuhusu Subaru Impreza?Nissan Tiida?.
Hizo gari mtu asipokua anaishi kwny majiji (Dar,Arusha,Mwanza labda Dom) anazihudumiaje?
dodge