Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Ubora wa gari haupimwi kwa Ulaji wa mafuta, upatikanaji wa spea na muonekano...kuna mabo mengi zaidi ya hayo...Huwezi kufananisha hizo gari na IST in terms of :- MUONEKANO, ULAJI WA MAFUTA, UPATIKANAJI WA VIFAA...
Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
Gari ni zuri ndiyo. Lakini liko chini sana. Sehemu zenye barabara za mashimo na hasa wakati wa mvua ist haifai, bora hata cami.Hili gari linapondwa sana na washamba lakini ni gari bora na stable kwa min car zote kwa sasa bongo...
Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
BAJAJI, TVS Mpyaaaa. Na pesa inabakiHeri ya mwaka mpya wakuu niwatakie 2020 yenye mafanikio tele kimwili na kiroho.
Haya back to the subject, mimi ni mzoefu wa magari kiasi fulani hapa nimekuja nipate mawazo ya wadau ili kuongeza options, budget ni Milioni 10 hebu naombeni recommendation ya gari ipi itanifaa kwa bei hiyo.
Ahsanteni na Weekend njema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu si mpenzi wa matikiti maji mkuu[emoji4][emoji4][emoji4] Nini tena.