USHAURI: Nina million 20 nifanye biashara gani?

....Kabila lina ulazima? maana umetaja hapo marafiki zako watano 'Wachaga'! kama jamaa ni Msukuma ama Msambaa asije??:thinking:

Naamini jamaa amefanya utani hapo, hebu angalia hapo wanapokutana na siku wanayokutana pia na jina la meza wanayokutana. :smile-big::smile-big::smile-big:
 
m pm jamani kha!
 
Kaka unaesisitiza seriousness nimekukubali sana, unajua kweli kuna watu hawako serious kabisa na tusipoangalia wakenya na waganda watatupiga bao kweli kwenye EAC.. Ila tuwe na tumaini mana mwanajeshi anaekata tamaa ni vigumu kuishinda vita, but pple lets be real serious tunakwenda kwenye ushindani wa hali ya juu sasa so kama tutakuwa tunakopa bila kujua tunaenda kufanyia nini hizo pesa ndio kila siku zitakuwa zinaliwa DESI.

Mwana Jamii,
Mtumishi wa Bwana.
 
Weka heshima bar, fukuza mke na watoto, tafuta kimwana mwingine wa kula nae pesa.
 
@komandoo: Mwisho, mkuu unawezaje kukopa kabla hujajua unaenda kufanyia nini? wewe ulikopa ili ukafanyie nini? make ni mzaha wa hali ya juu kwamba uliomba mkopo ila hukujua unaenda kufanyia nini,

mkuu hili ni swalila msingi sana.
me nlijua labda kashinda bahti na sibu au njia yoyote amabayo hakutegemea
the best thing to do is what is from you.
what yuo believe kitakutoa.
 
hii nikujikaza kiume. maana umefanya vizuri kuwa wazi biashara ningumu lakini biashara inahitaji uvumilivu na adabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…