Mimi ni mwanafunz wa udom.mwez wa 7-9 nilkuwa miongon mwa wanafunz waliofanya field lkn baada ya pesa kuingzwa kwenye akaunt za wanafnz mm skupewa japo nina mkopo. naomba ushaur nitafanyaj kupata hak yang ukizingatia 2liondoka chuo bila ya kusain
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.