Ushauri: Nina mpango wa kujiunga AIM Global

evart

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
2,838
Reaction score
2,772
Habari zenu wana JF ni matumaini mu wazima mnaendelea na michakato ya maisha. Kama kichwa cha mada kinavyojieleza nina mpango wa kujiunga na hii ishu ya Online Marketing kwani nimebahatika kukutana na mtu ambae amejiunga huko.

Amenishawishi vizuri nimefarijika sana maana maisha yamenibonda nataka nikajaribu upande mwingine wa mtandaoni.

Naombeni ushauri wenu kwa mliojiunga au mnaoifahamu vizuri biashara hii.

Je, ina manufaa? Kuna uwezekano wa kutoboa huko?

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…