Wanakuonea wivu tu mkuu,we nenda kapige hela uwe tajiri kama wakina Mengi.
Dada yangu alijiunga mwaka jana kwa sasa anakimbizana na familia ya kina MO Dewji.
haahahhahaha...hay mkuu..
haahahhahaha...hay mkuu..
mimi iliyenishinda acha nikae pembeni..tafuta hela sehemu nyingne ndugu ukipata hela nyingi ndo uwekewze huko AIM global.
yah and ni mwaka huu mwezi wa kwanza ndugu yangu nliingia na akaunti moja nikapambana ila baadae kwa upande wangu nikaona sitawezana nayo bora nifanye ishu zingine..sijaconclude kwamba ni utapeli lakini maana pia nlitembeza kahawa zao zile 4 hatari nikauza kwa watu japo wengine walikuwa wanazikataa wanasema ni za kichina (si unajua wabongo tukiwa hatuna hela tunavyobwabwaja) mpaka nikatamani nijifunze jinsi ya kutengeneza kahawa zangu mwenyewe original yani nijifunze jinsi ya kukaanga na processing zote za kahawa hadi niliwaza kununua zile mashine zao special za kupackage kahawa kwa jinsi nlipata changamoto kuwashawishi kununua zile kahawa..kuhusu kuweka watu kulia na kushoto nlipata tabu sana na jinsi ambavyo mimi sio mtu muongeaji na convincing power sanaa sikuwahi kuingiza mtu kabisa..
Hahaha... nenda mkuu ukajaribu bahati yako lakini ninachojua hakuna biashara hapo bali mifumo ya kudanganya watu na kuwauzia bidhaa za laki tano na Elfu hamsini bila wao kujua. Mie siwezi na sitafanya huo utumbo[emoji6]
Kuna jamaa yangu alijiunga huko anasaga mguu kama hana akili nzuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hmm!!
Mi napigiwaga mpk na wafilipino wale!
Network marketing ni nzuri ukiamua kutoil na kutupa kando zile stories za kufanikiwa na kuwa Milionea in days!
Mie napenda mafunzo Yao ya biashara, ila kuuza bidhaa zao ni kazi sio mchezo. No free lunch! Hakuna kipya n those bidhaa.
Usiende kisa umepigika, nenda kama Una msuli wa kupiga kazi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiingie. Iyo laki 5 yako tafuta kazi nyengine ifanye