Fiziolojia
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 815
- 1,080
Wanakuonea wivu tu mkuu,we nenda kapige hela uwe tajiri kama wakina Mengi.
Hahahaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Dogo still hajang'amua kauli yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga ni tatizo kubwa Sana hii nchi, "Watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa"
Karibu bfsuma, uijue nguvu ya muda wako wa ziada, Ni tofout Sana na im global kwa wanaohitaji kufanikiwa, contact nami.06821932752 kwa maelezo zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa yeyote anaesumbuliwa maradhi yeyote mwilini karibuni Sana,,pia kwa yeyote anaesumbuliwa na kipato mfukoni, mshahara haukuti mshara mwingine, karibu uijue nguvu ya muda wako wa ziada, kwa Tsh, yako 40,000/ au 140,000/unakuwa billionaire.contact me, by 0682192752. Tofout kabisa na imglobal,forever,oriflame,qt,gnld,edmark,crystal cell,n.k hii ndio biashara ya Karne 21ist huajili mtu na unaeza ukafanya ukiwa kwenye pajama.
Usijaribu huo upuzi utaliwa na hao wakora Hadi kieleweke.
We ndugu yaani wataka michango gani na hapo juu majibu tayari unayo... Hapo wewe ndo fursa na huyo anayekupeleka ndo unaenda kumpandisha cheo kwahiyo na wewe baadae utatakiwa utafute wengine uwageuze ngazi... Wakati utakuwa unazunguka na bidhaa za malaki ambazo wateja hamna... Kama una uwezo wa kutembeza hizo bidhaa kwanini hiyo laki 5 usiongezee kidogo ununue balo la nguo za watoto utembeze maeneo yenye wakazi wengi kama hizi kambi za majeshi au quarters za raia kawaida upige hela...