benja
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 320
- 215
Habari za muda huu, poleni na majukumu
Wadau ninaomba mnishauri, Mimi ni mfanyakazi katika kampuni ya watu binafsi, huwa ninakua free kila siku kuanzia saa kumi jioni, wkend huwa siendi kazini, nafikiria kuanzisha biashara yangu binafsi kwasasa halafu niwe naendelea kwenda kazini na baadae niweze kuipanua hii biashara nikishakuwa stable, naomba ushauri wenu nianzishe biashara ya aina gani? nina mtaji wa Tsh 7,000,000/-, ninaomba mnipe mawazo yenu.