Kuku kwiyoyo
Member
- May 7, 2020
- 29
- 17
Anha nataka nizifanyie biashara kipindi hichi hichi wakati nasoma ili paka nikimaliza ziwe zimejizarishaSijakuelewa unataka kuzitunza ufanye biashara ukimaliza chuo au sasa?
St John apachuo gani hapo dodoma ili nikushauri vizuri? udom, cbe, mipango, st john au chuo cha madini?
Asante ndg yangu kwa ushaur nitajaribu kulifanyia kazi 🙏🙏🙏Fungua mpesa
Nakushukuru ndg yangu kwa ushaur wako mungu akubarik piaKwa haraka haraka hapo lazima utafute mtu wa kusimamia hiyo biashara.
hapo unaweza fanya biashara kama zifuatazo:
1)Car wash ya magari na bodaboda.
2)Mtafute kijana mwenye ujuzi wa kuziba pancha bodaboda na magari.
3)Mtafute kijana atakae simamia biashara ya kijiwe cha chipsi.
4)Mpesa,Tigo pesa ila utakae mwachia awe makini sana na wezi wa mpesa.
5)Nunua brenda ya juisi na friji kisha mtafute binti afungue kijiwe cha vinywaji baridi.maji,soda,juisi n.k.
Mwisho kabisa kwa biashara ya kufanya wewe mwenyewe huku ukiwa unasoma nunua kwenye maduka ya machimbo bidhaa zifuatazo na uuze kwa cash na mkopo ambao mteja anatanguliza kwanza 50% ya bei yako unayouza.
1)Boksa za kiume na chupi za kike,
2)Ndala za kimasai za kiume na za kike.ila za kike ziwe nyingi kuliko za kiume.
3)body spray na pafume pamoja na kuchukua oda za wateja kwa bidhaa watakazo hitaji.
4)Makava ya simu ya kisasa pamoja na hear phones za kijanja memory card,flash n,k.
Kumbuka hii biashara unaweza fanya kwa part time unaweka kwenye begi bidhaa zako unaingia ofisi kwa ofisi mlango kwa mlango.pia unaweza kujitangaza kwenye mitandao na ukauza kiroho safi.wateja wako wa kwanza ni wanafunzi wenzio ambao naamini kabisa ndo watakao kuinua kimtaji kwa kukuunga mkono.
Mungu akubariki mkuu.
dah wazo zuriiOngea na wale mama Ntilie vizur wwnaozunguka chuo from Camp D, Kikuyu stendi na Kule Maeneo ya Kigambon wauzie mchele kwa bei nzuri!!
anhaa kwel ila tatafuta mtu mwaminifuMkuu kama hutojali nunua piki piki 2500,000 kama huna kipindi unakuwa unapiga boda boda wakati mwingine unaachia day waka. Itakulipa mno mkuu
Aendeshe mwenyew wakati hana kipindi na siku za weekend afu hyo itakayo baki anaweza uza mazaga ya kuzungusha kwa madukaanhaa kwel ila tatafuta mtu mwaminifu
Kwahiyo unasoma vyuo viwili kwa mpigo?Habari wanaJamiiForums
Nirudi kwenye Mada husika. Mimi ni mwanachuo kilichopo Dodoma nipo mwaka wa kwanza. Sasa hapa nilipo nilikuwa nina milioni tatu lakini natamani zijizalishe ili nitakapomaliza masomo niwe na mtaji mkubwa lakini sijajua nifanye biashara gani ambayo haitoniaribia ratiba ya masomo
Nimeamua kuja kwenu muweze kunishauri
NAWASILISHA
BhaghoshaJapo ni la kishenzi.
Unaweza ukapanga chumba ukakipamba kiana, ukawa unakodisha wahuni kupigana miti, u
Ila tu mwenye nyumba anatakiwa awe mbali na eneo lake.
Changamoto ni uwe na geto nyingine uwe na mashine ya kufulia mashuka.
2m inatosha, ila lazima uwe muhuni kidogo kufahimiana na wahuni