Sigara Kali JF-Expert Member Joined May 28, 2017 Posts 3,623 Reaction score 8,442 Aug 9, 2021 #1 Wakuu Salamu kwenu Nipo Wilaya ya Ilemela kata ya Shibula katika Jiji la Mwanza Sasa Nina laki 5 (500,000/-) je hii naweza kufungua biashara gani ambayo itanipa faida fresh na haitakuwa na usumbufu usumbufu Nahitaji ushauri wenu na mawazo yenu hasa kutoka kwa wazoefu wa biashara. Asante
Wakuu Salamu kwenu Nipo Wilaya ya Ilemela kata ya Shibula katika Jiji la Mwanza Sasa Nina laki 5 (500,000/-) je hii naweza kufungua biashara gani ambayo itanipa faida fresh na haitakuwa na usumbufu usumbufu Nahitaji ushauri wenu na mawazo yenu hasa kutoka kwa wazoefu wa biashara. Asante
Balungi JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 234 Reaction score 162 Aug 9, 2021 #2 Hapo nakushauri ukachukue miguu ya kuku na shingo, utatoka muda si mrefu
Grand Canyon JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 545 Reaction score 1,191 Aug 9, 2021 #3 Teremka hapo Igombe chukua dagaa, anika kwenye eneo safi wasiwe na mchanga kisha pack kwenye mifuko mafungu ya 1,000 Tsh halafu tembeza kwa baiskeli mtaa kwa mtaa kuanzia Shibula,Nyamwilolelwa,Kahama,hadi buswelu.
Teremka hapo Igombe chukua dagaa, anika kwenye eneo safi wasiwe na mchanga kisha pack kwenye mifuko mafungu ya 1,000 Tsh halafu tembeza kwa baiskeli mtaa kwa mtaa kuanzia Shibula,Nyamwilolelwa,Kahama,hadi buswelu.