unstopable man
Member
- Jun 19, 2026
- 23
- 45
Shukran sana mkuu kwa kuniongezea maarifa, nimekupata vyemaMalizia diploma,clinical officer ,itakutoa haraka
Hiyo bachelor kaisome baada ya diploma
Ila kama CA ikikupatia ajira/ check number kabla ya kusoma diploma basi unaweza jump to degree kama unavyowaza maana utakuwa tayari upo kwenye mfumo
All the best
Nimekucheki mkuuUnstoppable naomba unicheki 0787661973
Nimekuchek na namba inaishia 38 halotelUnstoppable naomba unicheki 0787661973