Ushauri nitakuwa Dubai kwa siku 5 nichukue biashara gani budget 6000UsD

Ushauri nitakuwa Dubai kwa siku 5 nichukue biashara gani budget 6000UsD

Ndesi

Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
7
Reaction score
2
Ushauri nitakuwa Dubai kwa siku 5 nichukue biashara gani? budget 6000UsD
 
Thanks Soft G
Panda Metro Train mpaka Baniyas Square station shuka, right opposite utakuta bustani muulize yeyote hapo bustanini yalipo maduka karibu na mabasi ya kwenda SHARJAH. Ni kama Kariakoo flani hv huko utakutana na Wanaija ndo madalali. Kama umefanya shopping kubwa wewe waachie address ulipofikia/hotel watakuletea hapo ulipofikia na ndo utawalipa hela yao.
 
Mkuu kama upo serious, nikuagize bidhaa kidogo hapo dubai nakupa na contact person. Nitakuongezea na hela ya usumbufu (faida kidogo). Nimeku-PM mkuu.
 
Biashara nzuri ambayo haitakua na usumbufu nunua flash disk original,pamoja na memory card ukirud nitakuonyesha pakuziuza jumla.mzigo mdogo na ushuru kiduchu
 
Kama huna cha kuchangia si ukae kimya?
Mtu anaweza enda dubai kwa safari ya kikazi ama la so anaona kurudi mikono mitupu ni hasara....watanzania sijui tutaelimika lini.
 
Back
Top Bottom