Craig
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 1,512
- 2,712
Habariii? Zenu jf members. Mwenzenu siku hizi nimepunguza stress kwa kuyaangalia maisha katika positive atittude. Basi nimeanza kutoka kakitambi kananikera kweli, imefikia hatua nikiwa out nabana tumbo ili nisionekane kama nina kifriza. Nimepungza gambe lakini wapi. Naombeni ushauri nifanyeje kukiepuka kitambi hiki? Nawakilisha.