mpenda1961
Senior Member
- Apr 2, 2013
- 123
- 78
Ingefaa tuone kazi ulizofanya, hii michoro ya 3d presentation.Ili uwe na nyumba nzuri unatakiwa kuwa na ramani iliyodesginiwa vizuri na ya tofauti na kipekee na inabidi isimamiwe vizuri wakati wa ujenzi
kwa ushauri wa maswala ya ujenzi na ramani za nyumba usisite kututafuta.
hapo chini ni baadhi ya kazi tulizowafanyia Wateja wetu
karibuni sana
+255764183123
Nirushie kwa whatsapp no. 0752892334mgonga mawe
kama hazifunguki nipe namba nikutumie whatsapp