Schrodinger Cat
Member
- Nov 23, 2011
- 34
- 2
Wana-JF habarini za weekend,
Mimi ni mteja wa CRDB Visa na nimeweza kuifungua hii card yangu kutumika online.
Pia nimejisajili paypal. Cha ajabu ni kwamba karibu mara ya tatu sasa nimenunua vitu
online, ila baada ya muda muuzaji ananirudia hela kwa kisingizio cha kwamba
hiyo bidhaa imeisha kwenye stock zao.
Ningependa kujua kama kuna mtu amewahi kufanikisha manunuzi online na kupokea bidhaa
yake hapa Bongo. Nataka nijihakikishie kwamba haya ni matukio ya bahati mbaya au
mpango wa kimakusudi kabisa kuninyima huduma.
Asante kwa kusoma thread hii.
Nimekuelewa.Huwa na nunua online na mara zote nimekuwa nikizipata bila matatizo. Ila tuliamua kupokelea Nairobi. Hii ni kwa sababu ya usumbufu na ipotevu wa vitu vinapofika Dar. Pia posta Tanzania wamekosa uaminifu.
Kwa hiyo inawezekana.
Kwanza kabla hujalipa fanya mawasiliano na wenye kuuza hiyo bidhaa na wakuhakikishie wanayo.
Pili mkubaliane ni kwa njia gani atakutumia huo mzigo.
Tatu wakupe gharama za kutuma mzigo. Maana mara nyingi wakiona gharama ya kutuma iko juu wanaweza kuamua kukurudishia pesa kupunguza risk. Ila kama kwangu inawezekana na kwqko pia itawezekana.
Wana-JF habarini za weekend,
Mimi ni mteja wa CRDB Visa na nimeweza kuifungua hii card yangu kutumika online.
Pia nimejisajili paypal. Cha ajabu ni kwamba karibu mara ya tatu sasa nimenunua vitu
online, ila baada ya muda muuzaji ananirudia hela kwa kisingizio cha kwamba
hiyo bidhaa imeisha kwenye stock zao.
Ningependa kujua kama kuna mtu amewahi kufanikisha manunuzi online na kupokea bidhaa
yake hapa Bongo. Nataka nijihakikishie kwamba haya ni matukio ya bahati mbaya au
mpango wa kimakusudi kabisa kuninyima huduma.
Asante kwa kusoma thread hii.
2. wakupe credit card. CRDB ina kitu kinaitwa VISA lakini huo ni upuuzi maana VISA yao siyo credit card. Katika nchi zilizo na mabenki yasiyo mchwa, wanapokupa visa card maana yake wewe umepewa uwezo wa kununua vitu japo hauna hela, muuzuji anapata hela toka benki na wewe utakuja lipa hilo deni lako benki siku yoyote mara nyingi a month later.
Ndugu mbongo apewe credit card? hapo watakuwa wameingia bonge la hasala. Kwa sasa CRDB wana option ya master card lakini ipo kwenye mfumo wa debit cards ambapo ni lazima uwe na salio kwenye account ndipo unaweza kufanya manunuzi. Nadhani hiyo inatufaa kwa sasa ili kujiepusha na kujilimbikizia madeni yasiyo na mwisho.
Wana-JF habarini za weekend,
Mimi ni mteja wa CRDB Visa na nimeweza kuifungua hii card yangu kutumika online.
Pia nimejisajili paypal. Cha ajabu ni kwamba karibu mara ya tatu sasa nimenunua vitu
online, ila baada ya muda muuzaji ananirudia hela kwa kisingizio cha kwamba
hiyo bidhaa imeisha kwenye stock zao.
Ningependa kujua kama kuna mtu amewahi kufanikisha manunuzi online na kupokea bidhaa
yake hapa Bongo. Nataka nijihakikishie kwamba haya ni matukio ya bahati mbaya au
mpango wa kimakusudi kabisa kuninyima huduma.
Asante kwa kusoma thread hii.
Aisee kumbe wewe kama mimi, mi nilijaribu kununua vile vi-mp3 vya kuchezea mziki kwa redio ya gari, seller akachukua kisha akadai bidhaa zimeisha, akanirefund kupitia paypal ila hela haijulikani ipo wapi! siku nyingine hivohivo tena seller mwingine akasema hawatumi vitu Tz akanirefund, yaani wameshaniliza kama kilo hivihivi. I am used to credit cards, hizi debit cards ni uchuro mtupu na ni usumbufu sana kwa mteja, I wouldn't recommend kwa kweli.Ila kuwa makini unanunua wapi? Mimi niliwahi kuagiza jersey no.10 ya argentina kwa paypal kama wewe. Ile jersey haikuwahi kufika na $ 35 sikuweza Kurecover walinizungusha mpaka nikasamehe.
Ushauri wangu ni kwamba kuweni makini sana na online transactions. Ni nzuri, zinaokoa muda lakini uzoefu wangu nikwamba benki inayotoa online options yafaa ikupe huduma zifuatazo
1. iwe na namba ya simu ambayo ni free na inapatikana masaa 24 ili ukikwama au ukigundua umeingia kwa matapeli basi upige hiyo namba na kufuta hiyo transaction
2. wakupe credit card. CRDB ina kitu kinaitwa VISA lakini huo ni upuuzi maana VISA yao siyo credit card. Katika nchi zilizo na mabenki yasiyo mchwa, wanapokupa visa card maana yake wewe umepewa uwezo wa kununua vitu japo hauna hela, muuzuji anapata hela toka benki na wewe utakuja lipa hilo deni lako benki siku yoyote mara nyingi a month later.
Kwahiyo, mpango wa kusema waliona hela haitoshi haupo.
Isitoshe hapo bongo mabenki yanawaibia sana. Iweje utoe hela yako kwenye ATM ya benki yako alafu utozwe transaction costs? Anayetakiwa kukutoza pesa ni benki ambayo siyo banker wako.
Kama kwamba hiyo haitoshi, utasikia benki zinajisifu eti mwaka huu wapeingiza faida ml 600. kwanini faida hiyo yote?