Ushauri please subaru forester xt 2010

Ushauri please subaru forester xt 2010

single father

Member
Joined
Oct 22, 2019
Posts
76
Reaction score
117
Wataalamu wa magari naombeni msaada nimeipenda hii gari pia ni chaguo langu naomba msaada wa kujua changamoto zake na faida zake please
Nawasilisha
 
Sijawahi kuitumia wala kuendesha gari hiyo, ila kimuonekano ni gari zuri. Ngoja waje wataalamu wa mambo hayo
 
Ilimradi umeipenda na ni chaguo lako la kwanza, go for it.

Ziko nyingi na zinatembea kila kona, hiyo itoshe kukueleza kuwa ni affordable na reliable kwa mazingira ya mtanzania!
 
Nunua hyo gari hutojutia,mm ninayo now n mwaka wa pili,wengi hapa Tz wanaamin Toyota ndo gari nzuri,kisa tu spare za magumashi zko nying na bei chee,Subaru kwang n best car kuanzia consumption ya mafuta,comfortability,stability na uchanganyaji wake,tunaiita "SUBIE NATION,COMFIDENCE IN MOTION"
 
Chukua hiyo gari wala usijiulize mara mbili bonge la chuma hilooo
 
Chukua tu. Zenye turbo zinakuwa na extra fuel consumption na zinajulikana.

So chukua kama unaipenda ila tazama ambayo bado ipo vizuri.

Kama utataka mchakato nidm kwa hiyo bajet upate nzuri.
 
One of the most compact SUV kwasasa
Forester inaweza kuwa ya petroli au turbo-petroli flat fours pamoja na dizeli Ua turbo-diesel flat fours. Horse Power yake ni kati ya 170 bhp hadi 260 bhp. Inatumia Lineartronic CVT gear box.

Forester ina suspension nzuri zilizotengenezwa zaidi kwa ajili ya Comforty na stability ya off-barabara, bado Forester ni mahiri katika kukabiliana na mashimo ya barabara za lami; zaidi ya idadi kubwa ya maingizo katika aina za Compact SUV. Katika 10 most Compact SUV na Subaru Forester ipo.

Utumiaji wa Mafuta ya Subaru Forester
Used Subaru Forester inakupa kati ya 9.4km/L (Town/City Trips) na 16.9km/L (Highway) katika consumption ya mafuta, kutegemeana na uendeshaji wa gari hilo pamoja na aina ya injini.
Kwa Ufupi Faida na Hasara zake ni kama:
  • Uwezo mkubwa wa kubeba mizigo
  • Ulaji mzuri wa mafuta
  • Standard All-wheel drive
  • Nguvu ya injini isiyovutia
  • Mfumo wa Infotainment sio wa kukata kama SUVs nyingine
subaru forester xt 2010.jpg
 
Back
Top Bottom