Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
Hakuna shda,we nunua ARV zako za kutosha tu mkuu.
Kwani unapiga wangapi kwa staili hii?Kuna kademu kamoja mimi napiga ila najua nako huwa kanapiga kazi zake za nje na ushahidi ninao. Ila mimi sitaki kukaacha mazima nataka niwe on and off yaani sitaki kubeba bendera. Shida kenyewe kameshakolea kwangu wakati huo huo kanatoa pia uroda nje kwa chaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaati. JE WADAU NIFANYEJE ili nisiwe mbeba bendera na wakati huo huo nikitaka huduuma niwe napata.
Hakuna shda,we nunua ARV zako za kutosha tu mkuu.
ungemkoleza asinge mengwa nje..
Wewe hata huelewi maana ya kukolea! Kakolea kwako afu huko nje anaenda kukata kiu ya mishkaki? Na unataka ushauri gani tena, muulize mkeo atakushauri usifanye yapi manake wewe umeshika bendera kwake wakati na yeye nje ana kipeperushi tu.
Kuna kademu kamoja mimi napiga ila najua nako huwa kanapiga kazi zake za nje na ushahidi ninao. Ila mimi sitaki kukaacha mazima nataka niwe on and off yaani sitaki kubeba bendera. Shida kenyewe kameshakolea kwangu wakati huo huo kanatoa pia uroda nje kwa chaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaati. JE WADAU NIFANYEJE ili nisiwe mbeba bendera na wakati huo huo nikitaka huduuma niwe napata.
Hakuna shda,we nunua ARV zako za kutosha tu mkuu.
Achana na videmu vya dot com, tafuta wa enzi za mwalimu!Hapana King'asti kamekolea ni kwamba hivi videmu vya dot com havitosheki kabisa hata upigeje mkuu.
Wewe hata huelewi maana ya kukolea! Kakolea kwako afu huko nje anaenda kukata kiu ya mishkaki? Na unataka ushauri gani tena, muulize mkeo atakushauri usifanye yapi manake wewe umeshika bendera kwake wakati na yeye nje ana kipeperushi tu.
Hapana King'asti kamekolea ni kwamba hivi videmu vya dot com havitosheki kabisa hata upigeje mkuu.