oldd vampire
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 253
- 52
habari ya leo wana jf doctor,ngja nianze hivi mara ya mwisho nimehave sex mwez wa tano hapo,na nikashika mimba sasa nikawa natoa harufu mbaya sana ukeeni yani kiasi nikikaa na watu wanaisikia nikaenda hospital wakaniambia kua hii hali yaeza sababisha mimba kuharibika maana ilizidi na nilikua natoa discharge ya njano hivi,wakaniambia niitoe mana hakuna jinsi wakanitoa na ilifika miez mitatu,na nikapewa dawa nikapona hiyo harufu yote ikaisha,sasa juzi nimemaliza kubleed naona harufu imerudi,nimeenda tena leo hospitali wameniambia ni magonjwa ya zinaa(but ni hospitali tofauti na walionitoa),sasa nashindwa kuelewa nimepataje maana sijafanya sex tangu may,naomba ushauri,mana kuna sehemu nyingne nilisoma net nikaambiwa inaitwa vaginal odour na inasababishwa na imbalance between bad and good bacteria,na hawajasema kama inasababishwa na sex pekeake