Ms. Kadadaa jumapili
Senior Member
- Jul 9, 2013
- 102
- 48
Nina simu ya smartfone tecno p3, naomba ushauri ni ntaitumiaje iweze kunizalishia pesa badala ya kuingia whatsapp na fb maana sijui mitandao gani ambayo inaweza kuniingizia kipato. Natangulisha shukran wanajamvi.