Ms. Kadadaa jumapili Senior Member Joined Jul 9, 2013 Posts 102 Reaction score 48 Feb 7, 2015 #1 Nina simu ya smartfone tecno p3, naomba ushauri ni ntaitumiaje iweze kunizalishia pesa badala ya kuingia whatsapp na fb maana sijui mitandao gani ambayo inaweza kuniingizia kipato. Natangulisha shukran wanajamvi.
Nina simu ya smartfone tecno p3, naomba ushauri ni ntaitumiaje iweze kunizalishia pesa badala ya kuingia whatsapp na fb maana sijui mitandao gani ambayo inaweza kuniingizia kipato. Natangulisha shukran wanajamvi.