Ushauri plz,nahitaji modem

Mtembea_peku

Senior Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
135
Reaction score
1
Wadau naomba mnisaidie modem ya kampuni ipi itanifaa ..zantel,sasatel,vodacom etc na iwe bora bt gharama nafuu kuimanage...nipen mawazo kesho nikachukue .
 
Kwa sasa chukua Zantel.. ina good speed na ni cheap ukisubscribe bundles za highlife..2GB kwa 10,000 for seven days
 
Ni-PM nikuelekeze kuna jamaa anauza za Modem za Safari Com ya Kenya ambayo is unlocked kwa hiyo inaweza kutumiwa na Chip yeyote na hivyo kutokuwa limited na unakuwa na wide choice ya kuchagua utumie mtandao gani kulingana uimara wa mtandao katika sehemu husika!!! lakini hata Modem ya voda can be unlocked hebu mjaribu chizcomputer atakuelekeza!!!
 
2GB kwa sh 10,000 kwa matumizi ya siku saba ni nyingi sana kama hauna maumizi makubwa. Nakushauri uchukue modem za airtel kama huna matumizi makubwa.
 
2GB kwa sh 10,000 kwa matumizi ya siku saba ni nyingi sana kama hauna maumizi makubwa. Nakushauri uchukue modem za airtel kama huna matumizi makubwa.

true mi matumiz yangu ni kawaida sana ,nitafanyia kazi
 

ok mkuu
 

Mkuu, Huyu yuko Dar?
 
wadau nashukuru kwa ushauri, nimechukua modem ya zantel iko fasta kweli muda wote..pia natumia browser opera mini 11.ni cost effective pia kama network iko low ina boost signal so mi mambo ya kuwa slow hayapo.downloads,uploads, youtube, live stream very clear na fasta,radio za kwenye internet kama nanawa..viva zantel modem.
 
wadau nashukuru kwa ushauri, nimechukua modem ya zantel iko fasta kweli muda wote..pia natumia browser opera mini 11.ni cost effective pia kama signal iko low ina boost signal kwa automatic turbo so mi mambo ya kuwa slow hayapo.downloads,uploads, youtube, live stream very clear na fasta,radio za kwenye internet kama nanawa..viva zantel modem...nipeni link tu nianze kuangalizia epl hapa.
 

Nimependa kutujali kwako. Umetupa kitu inaitwa "mlisho nyuma" Kwa lugha ya kitaalam FEEDBACK. Sasa anika bei mkuu. Unalipa shs ngap....Asante
 


ingia hapa mkuu MyP2P.eu :: Free Live Sports on your PC, Live Football, MLB, NBA, NHL and more...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…