ushauri plz:nataka kuwa master ceremony (mc)

chelsea fc

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
864
Reaction score
212
habari wana jamvi!
Naombeni ushauri juu ha huu ujasiriamali ninaotarajia kuingia,ushauri wenyewe ni juu ya ethics mbalimbali juu ya kuwa MC,
Kwasababu ninalengo la kumiliki na vyombo yaani mziki wangu mi mwenyewe ningependa nijue mziki mzuri wa kupiga kwenye ukumbi wa wastani una cost kiasi gani,vile vile nakaribisha na ushauri wowote muhimu

Karibuni?
 
Fanya hv anza kwanza ku volunteer kuendesha sherehe bure then hapo utatengeneza network ukishapata network ndo uanze ku charge,then seti nzur ya mziki haitakiw uwe na chini ya milion kumi
 
Mkuu hapo kwa red tunaomba kujua hiyo set ya muziki ina include vyombo gani, ukiweka na rough estimate ya bei zake itakuwa poa sana
 
Fanya hv anza kwanza ku volunteer kuendesha sherehe bure then hapo utatengeneza network ukishapata network ndo uanze ku charge,then seti nzur ya mziki haitakiw uwe na chini ya milion kumi

ebwana shukrani,ningeomba unendelee kuririka ushauri wako mzuri sana!
 
Back
Top Bottom