chelsea fc
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 864
- 212
Fanya hv anza kwanza ku volunteer kuendesha sherehe bure then hapo utatengeneza network ukishapata network ndo uanze ku charge,then seti nzur ya mziki haitakiw uwe na chini ya milion kumi
Kila la kheri nasikia ushindani ni mkubwa sana.