Amani kwenu wadau wa jukwaa hili.
Nimesoma postgrads ya finance n banking,nawaza hapa,nipige masters ipi kati ya Msc in finance ya Ifm au Mba in finance ya Udsm?
Naombeni ushauri kwa wenye uzoefu na outputs za hizo masters tajwa hapo juu!
Karibuni...