Labda tuanze na wewe ulikua na lengo gani hasa mpaka ulipoanza kufikiria kisoma hiyo kozi. Hyo tisa, kumi wew undergraduate umesoma kozi ganiWakuu naomba maoni na ushauri wenu kuhusu uzuri au ubaya (Manufaa) wa kusoma kozi hiyo
Maliza chuo nenda law school, usipoteze muda, uenda uko mbeleni mambo ya kawa magumu zaidi na law school pakawa hapaingiliki tena.Wakuu kusoma law school moja kwa moja ukitokea chuo na ukifanya Kazi kwanza kwa miaka kadhaa kipi bora?
Naomba msaada katika suala hili.Nenda kasome post graduate diploma in legal practice