Ushauri: President Tshisekedi kuya Tanzania tuyajenge.

6 Pack

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2022
Posts
2,819
Reaction score
5,996
Mr presidaa bounjour,

Mr presidaa nayua Kiswahili inakusumbula sana, lakini nayua kuna batu yako ya karibu humu JF bataweza kukuelezea hii massage yangu kwako na utaelewa kila kitu ninachokwambia hapa.

Mr presidaa ni wazi huko Goma mayi yameshinda bunga, hivyo weye na basodaa wako hamuwezi kubazuia hawa wapetii wa M23 kwa njia yoyote. Hivyo basi mimi kama mutu ninaeumizwa na kile kinachotokea ku inchi yako, ningependa nikushauri kitu kimoya ya muhimu sana ili kubazuia hao M23 na banyarwanda basiweze kuibeba Goma na Congo yako yote.

Sasa ili inchi yako isianguke mu mikono ya M23 na Banyarwanda, fanya haya yafuatayo hapo chini.

Onana kwanza na Kikwete umuombe azungumuze na presidaa wetu juu ya kile kinachoendelea ku inchi yako. Nayua presidaa anayua kila kitu lakini anahitaji aelezwe tena na kushauri na mutu mukubwa kama Kikwete juu ya kukusaidia usiangushwe na banyarwanda.

Katika mazungumuzo yenu uweke kipengele cha mukataba wa eneo husika kwa Tanzania. Ukubali kuachia hiyo eneo ya Goma katika mikono ya Tanzania, ili tubachape hao banyarwanda, alafu baada ya hapo tuidhibiti Goma, iwe chini ya Utawala wetu kwa muda wa miaka 50, ili kufidia hasara tuliyopata na faida kidogo kwa ajili ya kazi tuliyofanya.

Hiyo ndio njia pekee ya kuokoa huo muji. Tanzania hatuwezi kuingia kwenye risk ambayo haina masilahi yoyote kwetu na kwa watu wetu.

Mwaka 2013 hadi 14 tulibasafisha hao wapetii wa M23 mpaka bakaacha silaha na kukimbilia Rwanda na Uganda.

Lakini kama nchi hatukuwahi kupata faida yoyote ya kuwapiga wale M23 mwaka 2013, zaidi ya kusifiwa na kukenuliwa meno.

Sasa kama uko tayari toa mukataba kwa ajili ya faida ya nchi zote mbili. I mean nchi yako na nchi yetu. Otherwise upambane tu na hali yako mukubwa wangu.

Merci sana kwa kunielewa presidaa Tshisekedi.
 
Mr presidaa bounjour,

Mr presidaa nayua Kiswahili inakusumbula sana, lakini nayua kuna batu yako ya karibu itaweza kukuelezea hii massage yangu kwako na utaelewa kila kitu ninachokwambia hapa.

Mr presidaa ni wazi huko Goma mayi yameshinda bunga, hivyo weye na basodaa wako hamuwezi kubazuia hawa wapetii wa M23 kwa njia yoyote. Hivyo basi mimi kama mutu ninaeumizwa na kile kinachotokea ku inchi yako, ningependa nikushauri kitu moya ya muhimu sana ili kubazuia hao M23 na banyarwanda basiweze kuibeba Goma na Congo yako yote.

Sasa ili inchi yako isianguke mu mikono ya M23 na Banyarwanda, fanya haya yafuatayo hapo chini.

Onana kwanza na Kikwete umuombe azungumuze na presidaa wetu juu ya kile kinachoendelea ku inchi yako. Nayua presidaa anayua kila kitu lakini anahitaji aelezwe tena na kushauri na mutu mukubwa kama Kikwete juu ya kukusaidia usiangushwe na banyarwanda.

Hahahaha ! Amekuelewa maana lugha yenyewe uliotumia niya kina chaunomakara ba Congo.
 
Ngoja nimuite Mr Kukuwazabanga aje achukue ushauri na kuupeleka kwa Felix Tshisekedi 🤣🤣🤣
 
Probleme ni moya tu,ba Tanzaniaa ba sasa bakijua kutypee mu kibodi banafikiri banaweza kuchambula mambo ba kijesii na goma yetu..
Munyamale kwanza tuko uzuni ya kufilwa na batoto vetu kulunaa.
Mumebanyonga ba kuluna, lakini munashindwa kubamaliza banyarwanda mukubwa wangu. Komaa iwe vile mukubwa?
 
Kirahisi TU!! Aje akutane na machawa wakina Mwijaku n babalevo?
KAZI ni kipimo cha UTU
Kama atakuya kwa lengo la kukutana na kina baba levo atabakuta, lakini akiya kwa lengo la kumuona presidaa basi atamukuta anamungoya.
 
Mumebanyonga ba kuluna, lakini munashindwa kubamaliza banyarwanda mukubwa wangu. Komaa iwe vile mukubwa?
Kuluna abana masasi...njo tuko natafuta ushawi..tupiganishe m23
 
Mr presidaa bounjour,

Mr presidaa nayua Kiswahili inakusumbula sana, lakini nayua kuna batu yako ya karibu humu bataweza kukuelezea hii massage yangu kwako na utaelewa kila kitu ninachokwambia hapa.

Mr presidaa ni wazi huko Goma mayi yameshinda bunga, hivyo weye na basodaa wako hamuwezi kubazuia hawa wapetii wa M23 kwa njia yoyote. Hivyo basi mimi kama mutu ninaeumizwa na kile kinachotokea ku inchi yako, ningependa nikushauri kitu kimoya ya muhimu sana ili kubazuia hao M23 na banyarwanda basiweze kuibeba Goma na Congo yako yote.

Sasa ili inchi yako isianguke mu mikono ya M23 na Banyarwanda, fanya haya yafuatayo hapo chini.

Onana kwanza na Kikwete umuombe azungumuze na presidaa wetu juu ya kile kinachoendelea ku inchi yako. Nayua presidaa anayua kila kitu lakini anahitaji aelezwe tena na kushauri na mutu mukubwa kama Kikwete juu ya kukusaidia usiangushwe na banyarwanda.

Katika mazungumuzo yenu uweke kipengele cha mukataba wa eneo husika kwa Tanzania. Ukubali kuachia hiyo eneo ya Goma katika mikono ya Tanzania, ili tubachape hao banyarwanda, alafu baada ya hapo tuidhibiti Goma, iwe chini ya Utawala wetu kwa muda wa miaka 50, ili kufidia hasara tuliyopata na faida kidogo kwa ajili ya kazi tuliyofanya.

Hiyo ndio njia pekee ya kuokoa huo muji. Tanzania hatuwezi kuingia kwenye risk ambayo haina masilahi yoyote kwetu na kwa watu wetu.

Mwaka 2013 hadi 14 tulibasafisha hao wapetii wa M23 mpaka bakaacha silaha na kukimbilia Rwanda na Uganda.

Lakini kama nchi hatukuwahi kupata faida yoyote ya kuwapiga wale M23 mwaka 2013, zaidi ya kusifiwa na kukenuliwa meno.

Sasa kama uko tayari toa mukataba kwa ajili ya faida ya nchi zote mbili. I mean nchi yako na nchi yetu. Otherwise upambane tu na hali yako mukubwa wangu.

Merci sana kwa kunielewa presidaa Tshisekedi.
Hahaha fara sana eti miaka 50
Sasa si bora awaachie hao waasi?
Tanzania ya sasa sio ile
nguvu zetu kijeshi zimepungua sana
hili tukubali tukatae
huo ndiyo ukweli
 
Hahaha fara sana eti miaka 50
Sasa si bora awaachie hao waasi?
Tanzania ya sasa sio ile
nguvu zetu kijeshi zimepungua sana
hili tukubali tukatae
huo ndiyo ukweli
Ni nini kinachokufanya uamini kuwa nguvu zetu za kijeshi zimepungua mkuu?
 
Back
Top Bottom