Ushauri p'se: Hataki Kamchezo Ketu..!!

Daah kazi kweli kweli,back 2 da topic mkuu vumilia tu utakula matunda matamu,watu tushabaniwa miaka sita japo tuliwahi kulala kitanda kimoja mara nyingi mwisho wa siku tukala bikra swaaf,acha wenge
 
Last edited by a moderator:

Ananicheki mwezi wa nne huu...Mbona karibu mambo yangu yote anayajua?
miezi minne tu? watu wanavumilia kwa miaka! kutokukupa siyo sababu ya kumwacha, sema tu kuwa humpendi unataka kutest
 
Daah kazi kweli kweli,back 2 da topic mkuu vumilia tu utakula matunda matamu,watu tushabaniwa miaka sita japo tuliwahi kulala kitanda kimoja mara nyingi mwisho wa siku tukala bikra swaaf,acha wenge

wewe ni mwana foe nini? ukisema tu ndiyo au hapana nitaunga lines mwnyw.
 
Usimlazimishe bwana tendo hilo huwa halilazimishwi ukililazimisha linakuwa ubakaji.Vuta subira acha haraka wakati utafika.Hilo wazo la kuuziwa mbuzi kwenye gunia sio sahihi inawezekana wewe ukawa ndio kimeo tatizo letu wanaume huwa ni wabinafsi na kujifikiria sisi zaidi.
Na pia inaonekana bado hajakuamini miezi mi 4 tu kaka tayari unataka kuingia msituni ama unapita.
 
leroy ungejaribu kuweka mazingira ya yeye kukuambia ni kwanini hataki badala ya kumuweka mazingira ya 6/6. Inatakiwa utambue pia katika mahusiano to women it is not always about sex kama wanaume. yeye anaweza maliza hata mwaka.... Badala ya kumuacha mwambie ukweli kuwa unampenda sabb hayupo tayari kufanya hilo tendo at the moment unatafuta mwingine ambae ataweza huku nyie mnaendelea, ili uone how she will react.
 
Last edited by a moderator:
haaaa...
Miezi 4 tu unataka dudu,
wenzio wanasubiria miaka 3 ndo wanapewa....
 
​Lakini yeye anasema huu kwake ni kama ugonjwa, anapenda ku-do, ila ikifika stage hiyo anapatwa na hasira ghafla....

ha ha ha huu ugonjwa ni hatari sana
muulize vizuri uwenda ana historia ya kubakwa kwa hiyo anakumbukia
ukitaka kujua muulize kama ana bikira kama hana jua aliyeitoa alimbaka au alimuachia maumivu na picha mbaya kichwani
 
eti miezi unalalamika,tena aendelee hvyo hvyo,kama unataka oa halafu hapo tena asipotaka tuambie nani anataka ahadi hewa,akuamini wewe kwa lipi?
 

Kuna kitu pia kinaitwa JINI MAHABA, kama analo la kiume basi hapo ni mpaka litolewe maana huwa nasikia linakuwaga na wivu sana. Hii ni kwa wale waaminio tu. Na samahani kama nimetoka offtrack
 
how did she react? was she comfortable with your fingering?

She pulled out afters 1 minute...!! I just remember one word...She said Pleeeease!
 
haaaa...
Miezi 4 tu unataka dudu,
wenzio wanasubiria miaka 3 ndo wanapewa....

BADILI TABIA inatakiwa uwe makini... Miaka mitatu si hapo wanakuwa wanakula wengine? By the time unaamua kuwa upo tayari; jamaa anakuta na kujilaumu kusubiri kote huku kumbe hakuna lolote maana after all huwa kuna tofauti kati ya watu na watu. Thou sisemi kuwa kushiriki mapema ni best option, walau iwe reasonable time with plausable reasons..
 
Last edited by a moderator:
miezi minne bado si muda mrefu sana wa mtu kuanza kusikitika kwamba hujapewa huduma.... nenda naye taratibu; mdodose akuambie kwa nini ana-behave that way; ataku-appreciate na ku-respond positively akiona unamjali na unampenda yeye kwa dhati na siyo kwamba unataka tu kumtumia kama chombo cha starehe bila kujali hisia zake...
 

miaka mitatu ya kuaminiana na kama mnapendana kwa dhati mbona inakua simple tu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…