Fatma-Zehra
Senior Member
- Oct 18, 2020
- 192
- 1,063
Leo atatoa.....press mtamuonaKwanza nianze kwa kumpa mama pole ya uchovu wa safari. Ninamwomba apigane na upandaji wa gharama za maisha hasa bei za vitu mbalimbali. Unfortunately, this's placing a notable stain on her beautiful leadership gown.
Hata hivyo, namshauri mama ampigie simu Venance wanywe nae chai halafu wapige picha. Personally nitafurahi maana sijamwona Mabeyo siku nyingi. Ukimya wake unanistua!. Siku njema.
Mabeyo ni tofauti kabisa na SiroMabeyo yupo, juzi kati alikuwepo sehemu kama mgeni rasmi na akatoa hotuba fupi. Mabeyo hapendi kelele sio politician.
Huyo mzee hapendi siasa ni mwanajeshi wa kweliKwanza nianze kwa kumpa mama pole ya uchovu wa safari. Ninamwomba apigane na upandaji wa gharama za maisha hasa bei za vitu mbalimbali. Unfortunately, this's placing a notable stain on her beautiful leadership gown.
Hata hivyo, namshauri mama ampigie simu Venance wanywe nae chai halafu wapige picha. Personally nitafurahi maana sijamwona Mabeyo siku nyingi. Ukimya wake unanistua!. Siku njema.
Ndio wanamdrive mama.Ishu ya Mbowe mama kaipokea kishingo upande sio yeyeMabeyo ni tofauti kabisa na Siro
Mkuu wa majeshi apige picha akinywa chai na amiri jeshi mkuu ili mwanajamii forum afurahi😀 Tanzania.......
Naona hatujamuelewa mleta mada anataka nini haswa, ni makosa tumeyafanya mwanzoni kabisa.Sasa tumuulizeni.Mkuu wa majeshi apige picha akinywa chai na amiri jeshi mkuu ili mwanajamii forum afurahi[emoji3] Tanzania.......
Wengi watapuuza ushauri huu ila yajayo…,Kwanza nianze kwa kumpa mama pole ya uchovu wa safari. Ninamwomba apigane na upandaji wa gharama za maisha hasa bei za vitu mbalimbali. Unfortunately, this's placing a notable stain on her beautiful leadership gown.
Hata hivyo, namshauri mama ampigie simu Venance wanywe nae chai halafu wapige picha. Personally nitafurahi maana sijamwona Mabeyo siku nyingi. Ukimya wake unanistua!. Siku njema.
Hapa Nakubaliana na ww samurai. Demokrasia kwa mpumbavu sio rafiki.kuna vitu vinachekesha sana aisee.... ndio maana huwa tunasema demokrasia sio rafiki kwa mpumbavu...
Mm nimemuelewa mleta mada, na pengine ana hoja ya msingi ila sababu ni fake id wacha tumchangamshe.Naona hatujamuelewa mleta mada anataka nini haswa, ni makosa tumeyafanya mwanzoni kabisa.Sasa tumuulizeni.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
kuna vitu vinachekesha sana aisee.... ndio maana huwa tunasema demokrasia sio rafiki kwa mpumbavu...
Huenda mwandishi ana tip fulani ambayo hatuijui anaamua kutumia fasihi kufikisha ujumbe,asipuuzwekuna vitu vinachekesha sana aisee.... ndio maana huwa tunasema demokrasia sio rafiki kwa mpumbavu...
Usidanganye watu. Yule ni kiongozi wa ulinzi tu. Kiongozi wa usalama nk IGP siroCDF Mabeyo kama mkuu wa majeshi ya ulinzi na Usalama Kila siku analipoti kwa Rais pia yupo kwenye kamati ya Baraza la Usalama la Taifa hivo basi Kila siku lazima aongee na Rais kumpa briefing za nchi kiulinzi na kiusalama.
MmmmmhHuenda mwandishi ana tip fulani ambayo hatuijui anaamua kutumia fasihi kufikisha ujumbe,asipuuzwe