Ushauri: Rais Samia akae na Jenerali Mabeyo wanywe chai na kupiga picha

Habari zako Fatma sio za kupuuzwa. Asante
 
CDF Mabeyo kama mkuu wa majeshi ya ulinzi na Usalama Kila siku analipoti kwa Rais pia yupo kwenye kamati ya Baraza la Usalama la Taifa hivo basi Kila siku lazima aongee na Rais kumpa briefing za nchi kiulinzi na kiusalama.
ITIFAKI IZINGATIWE: CDF ni mkuu wa majeshi ya ulinzi tu. Vyombo vya usalama vina wakuu wao ambao huwajibika kwa C IN C.
 
Mabeyo atakuwepo tu mkuu kuwa na amani maana nafasi zingine siyo za kufanyia majaribio
 
CDF Mabeyo kama mkuu wa majeshi ya ulinzi na Usalama Kila siku analipoti kwa Rais pia yupo kwenye kamati ya Baraza la Usalama la Taifa hivo basi Kila siku lazima aongee na Rais kumpa briefing za nchi kiulinzi na kiusalama.
Mleta mada kakwambia yeye ni siku nyingi hajamuona
 
Last sentence in your first paragraphy say it all! You are supporting her leadership blindly! Sorry to say that! I understand your wings especially when someone from your side is in power! You dont care what she or he is doing but just because he or she belongs to your side!! Expect to see much from this swahili's regime! Extrimism fragments the country!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…