Ushauri: Rais Samia akae na Jenerali Mabeyo wanywe chai na kupiga picha

Let the dead bury the dead.

I am Done.
 
Hayo mambo yakuwazungusha wakuu wa vyombo vya ulinzi kwenye matukio hats yasiyo lazima wao wawepo inakuwa kama kuwepo Shaka Shaka.
Utawakuta viwanja vya ndege Mara huku wakati wanawasaidizi wao kila mkoa.
Kweli CDF anakuwa viwanja vya ndege kwa mapokezi.
Ingekuwa heshima CDF ampokelee ikulu
 
Ndio wanamdrive mama.Ishu ya Mbowe mama kaipokea kishingo upande sio yeye
Kama tulimsifia mama kuwaachia masheikh wa uamsho kwa nini tusimlaumu kumfunga mbowe? Kama kashauriwa vibaya kuhusu mbowe basi tukubali pia hata kuwaachia masheikh wa uamsho sio yeye amehusika
 
Mabeyo yupo, juzi kati alikuwepo sehemu kama mgeni rasmi na akatoa hotuba fupi. Mabeyo hapendi kelele sio politician.
Maguful alitaka kumuharibu maana enz za mwendazake mabeyo alikua kwenye media daily mpaka tukawa tunapata hofu.
 
Akikaa kimya mnataka Aongee, akiongea mnataka akae kimya.
Nini?
 
Wengi watapuuza ushauri huu ila yajayo…,
Yajayo kitu gani ?!!

Acha uzwazwa wewe.....

Tanzania si Uganda ,Rwanda ,Kongo ,Sudan wala Ethiopia.....

Taifa hili ni ADHIMU......

Lililosimikwa vyema na MWANABORA KABISA WA AFRIKA KUSHINDA SISI SOTE hayati baba wa taifa JKN💪

Siempre JMT
 
Jumamosi ya Oktoba 30, mwaka huu, alikuwa Dodoma, akizindua miradi ya uzalishaji ya JKT. Halafu unahamu umuone ktk picha na Rais? Ili iweje sasa?

Mungu endelea kumbariki CDF wetu atakayesomwa na vizazi na vizazi, yeye na wakuu wengine wa vyombo vya usalama kwa kuivusha nchi yetu salama, baada ya kumpoteza mpendwa Rais wetu, Dk. Magufuli.
 
Dada fatma wanye chai na nin!? Kwani kuna kiporo gan? Au wakachukue vitumbua hapo kwa mama chiku
 
Aaaamin aaaaamin aaaaamin eee Mwenyezi Mungu wetu aaaamin aaaamin 🙏
 
Kama tulimsifia mama kuwaachia masheikh wa uamsho kwa nini tusimlaumu kumfunga mbowe? Kama kashauriwa vibaya kuhusu mbowe basi tukubali pia hata kuwaachia masheikh wa uamsho sio yeye amehusika
Mbowe ushahidi wa kuokoteza bashite uhitaji torch
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…