Maisha pesa
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 681
- 630
Mkuu nashukuru sana kwa ushauri wako wa kisomi. Nimejifunza mambo mengi kutoka kwakokila gari mpya inatumia umeme hauwezi kuukimbia, ni kama kwako tu ikipiga shoti usipo irekebisha itasambaa na kwengine kama hakuna circuit braker, kama unataka fuel efficient car go for it, its simple and good. Allex ina nafasi kubwa ndani na Run X ina base nzuri barabarani, so kama ni mtu wa mbio go for Run X ila kama you always have people in the car go for Allex. Kuhusu taa, haununui gari kuwaza ajali japokua zipo..... hata ukinunua gari ambalo taa ni bure huwezi kuzivunja kila siku....... all in all hayo ni magari mazuri na yapo kwenye chat sasa hv....ukiwa nalo utatumia vizuri tu na ukitaka kuuza utauza kwa bei poa sana. About comfortability inategemea unacompare na magari gani, huwezi fananisha na Axio, brevis, progres, Verossa, na mengineyo ambayo ndio comfortable car, but kwa kua hizo ni hatchbacks.... ukichagua vizur utapata zenye very comfortable seat for your demands out of comparison. I stand corrected.
Asante mkuu. Nimeupokea ushauri wakoMimi ninamiliki runx mkuu.
Nimeshanunua spea mara kibao na ni bei rshisi tu yani kawaida sana.
Ni gari comfortable sana na wala hazisumbui kama ulivyoambiwa.
Utumiaji wa mafuta ni mzuri sana yani zaidi ya sana hasa kipindi hiki cha 5 yani wenzangu wanapaki sababu ya mafuta mi ndio nawapa lift kwenda na kurudi kazini.
Gari nzuri sana mkuu.
Wasikutishe nunua chombo hiyo then lete mrejesho
safi Sana screpa
Wewe una lipi?Mkuu nunua magari ya kishua. Wanaume wa ukweli wanaendesha magari ya six cylinder na hawaogopi changamoto ya mafuta. Achana na haya ambayo ukisafiri nayo safari ndefu yanakuwa kama kipofu anayepapasa barabarani.
Hilo nalo neno maana mziki wa six cylinder kwenye safari lazima mwenye baby walker akuonee wivu.Mkuu nunua magari ya kishua. Wanaume wa ukweli wanaendesha magari ya six cylinder na hawaogopi changamoto ya mafuta. Achana na haya ambayo ukisafiri nayo safari ndefu yanakuwa kama kipofu anayepapasa barabarani.
Kweli ziko chini kwa barabara za makorongo inahitaji nidhamu, mimi nafikiria kuweka spacer nini hasara ya kufanya hivi?Mi mwenyewe ninayo runx iko poa sana haijawahi nisumbua kabisa na ninapiga nayo masafa tena kwa mwendo wa kasi..
Spear ya laki 8 imekuwa prado mkuu?
Shida kwangu ipo chini na sitaki kuweka spacer