hanc j Member Joined Jan 12, 2017 Posts 98 Reaction score 30 Jul 6, 2017 #21 hanc j said: Click to expand... Runex gari kali sana haili mafuta bei ni 8.5m tu haina shida yoyote ile nichek 0718017711
hanc j said: Click to expand... Runex gari kali sana haili mafuta bei ni 8.5m tu haina shida yoyote ile nichek 0718017711
screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,857 Reaction score 15,866 Jul 6, 2017 #22 babuukikolo said: Click to expand... Na kuongeza size ya tyre je haina effect?
B babuukikolo Senior Member Joined Jan 1, 2014 Posts 144 Reaction score 164 Jul 6, 2017 #23 Haina effect mkuu ila inategemea na unene wa hiyo rim
falcon mombasa JF-Expert Member Joined Mar 5, 2015 Posts 9,189 Reaction score 9,299 Jul 6, 2017 #24 MAGARI
Konte Member Joined Jul 26, 2017 Posts 86 Reaction score 131 Aug 17, 2017 #25 MANI said: Hilo nalo neno maana mziki wa six cylinder kwenye safari lazima mwenye baby walker akuonee wivu. Click to expand... Speed limit nyingi sana skuizi, hutaifaidi sana six cylinder otherwise ukubaliane na izo fines Sent using Jamii Forums mobile app
MANI said: Hilo nalo neno maana mziki wa six cylinder kwenye safari lazima mwenye baby walker akuonee wivu. Click to expand... Speed limit nyingi sana skuizi, hutaifaidi sana six cylinder otherwise ukubaliane na izo fines Sent using Jamii Forums mobile app
kilalile JF-Expert Member Joined Jun 4, 2012 Posts 1,594 Reaction score 2,207 Aug 17, 2017 #26 Gari za kwendea bar hizo.