Ushauri: Sabaya ukiwa jela andika kitabu kitachosaidia wateule wenzako yasiwakute yaliyokukuta

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Kama sheria na taratibu zinaruhusu wafungwa kuandika kitabu, nakushauri utumie muda wako wa kuwa kifungoni uandike kitabu kitachoeleza kila kitu yakiwemo yale ambayo hukuyasema mahakamani (kama yapo) ili usaidie wenzako yasiwakute yaliyowakuta.

Kwasababu umeshaenda jela(unless unataka kukata rufaa) huna tena cha kupoteza bali ni kuandika kitabu kinachoeleza changamoto za uongozi na maagizo kutoka juu na uonye wenzako juu ya hatari inayoweza kuwakumba iwapo watalewa madaraka na kupokea kila aina ya maagizo hata yale yanayohatarisha kesho yao.

Bila shaka itakuwa na mengi ya kueleza na kitabu chako nahakika kitauza sana na kama kuna tegemezi uliowaacha, basi mauzo ya kitabu hicho yanaweza kutumika kuwatunza.

Jina la kitabu linaweza kuwa ni:

Why I am ni jail today au The lesson from the Man behind bars by Sabaya au vinginevyo mradi tu ueleze ukweli mchungu umefikjaje hapo ulipo leo hii na hasa kama utakiri na kueleza ukweli wote katika kitabu chako na kuwaonya wengine.

Ikiwezekana, elezea uhusiano wa katiba na yaliyokukuta na utoe ushauri nini kifanyike yasiwakute wengine iwapo utahisi katiba yetu ina mchango kwa yaliyokukuta.

Katika kitabu chako, usisahau kuomba radhi na kutubu kwa yote uliyoyatenda na pia uombe jamii ikusamehe.

Ukiona kuandika kitabu ni kazi ngumu au vinginevyo, unaweza kuandika makala kwenye mojawapo ya magszeti yanayotoka kwa wiki mradi tu ujumbe uifike jamii.

Japo umtenda uovu mwingi,ukifanya hili, utakuwa na jema la kukumbukwa.

Mungu ana makusudi kwa kila jambo.
 
Mwenzake Mbowe kesha anza page ya kwanza.
ni jambo zuri maana wengine watajifunza kupitia makosa yao ya kibinaadamu.
 
Kama sheria na taratibu zinaruhusu wafungwa kuandika kitabu, nakushauri utumie muda wako wa kuwa kifungoni uandike kitabu kitachoeleza kila kitu yakiwemo yale ambayo hukuyasema mahakamani (kama yapo) ili usaidie wenzako yasiwakute yaliyowakuta.

Kwasababu umeshaenda jela(unless unataka kukata rufaa) huna tena cha kupoteza bali ni kuandika kitabu kirachoeleza changamoto za uongozi na maagizo kutoka juu na uonye wenzako juu ya hatari inayoweza kuwakumba iwapo watalewa madaraka na kupokea kila aina ya maagizo hata yale yanayohatarisha kesho yao.

Bila shaka itakuwa na mengi ya kueleza na kitabu chako nahakika kitauza sana na kama kuna tegemezi uliowaacha, basi mauzo ya kitabu hicho yanaweza kutumika kuwatunza.

Jina la kitabu linaweza kuwa ni:

Why I am ni jail today au The lesson from Man behind bars by Sabaya au vinginevyo mradi tu ueleze ukweli mchungu umefikjaje hapo ulipo leo hii na hasa kama utakiri na kueleza ukweli wote katika kitabu chako na kuwaonya wengine.

Japo umtenda uovu mwingi,ukifanya hili, utakuwa na jema la kukumbukwa.
Ushauri huu akiupuuza nitashangaa sana !
 
Yule Bashite naye mamlaka ya uteuzi ilimuagiza afanye maovu gani?
C6A61D78-C6DE-407D-A938-71196F228A0A.jpeg

Kama sheria na taratibu zinaruhusu wafungwa kuandika kitabu, nakushauri utumie muda wako wa kuwa kifungoni uandike kitabu kitachoeleza kila kitu yakiwemo yale ambayo hukuyasema mahakamani (kama yapo) ili usaidie wenzako yasiwakute yaliyowakuta.

Kwasababu umeshaenda jela(unless unataka kukata rufaa) huna tena cha kupoteza bali ni kuandika kitabu kirachoeleza changamoto za uongozi na maagizo kutoka juu na uonye wenzako juu ya hatari inayoweza kuwakumba iwapo watalewa madaraka na kupokea kila aina ya maagizo hata yale yanayohatarisha kesho yao.

Bila shaka itakuwa na mengi ya kueleza na kitabu chako nahakika kitauza sana na kama kuna tegemezi uliowaacha, basi mauzo ya kitabu hicho yanaweza kutumika kuwatunza.

Jina la kitabu linaweza kuwa ni:

Why I am ni jail today au The lesson from Man behind bars by Sabaya au vinginevyo mradi tu ueleze ukweli mchungu umefikjaje hapo ulipo leo hii na hasa kama utakiri na kueleza ukweli wote katika kitabu chako na kuwaonya wengine.

Japo umtenda uovu mwingi,ukifanya hili, utakuwa na jema la kukumbukwa.
 
Na mbowe aandike kitabu pia akiwa huko jela
 
Ana siri nyingi za maovu ya kutisha yule jambazi mwingine naye bila shaka kawapora Wafanyabishara Dar mamilioni kama siyo mabilioni pia kushiriki kwenye utekaji, utesaji na uuaji.

Majuto ni mjukuu.
 
Teyari zimeanza kuvuja.

Inawezekana, lakini itakua ni kama unaikosoa sheria...
 
Back
Top Bottom