Sanaa zetu zinatakiwa ziwe chini ya wizara ya mambo ya nje na kuweza kutangazwa na kuleta pesa za kigeni. Vilevile kuwaletea vipato wasanii wetu.
Kwa sasa wizara waliyopo wamekuwa kama viranja tu wa kukosoa na kupiga faini bila kusaidia kuwaongezea vipato wasanii.
Wasanii wetu na sanaa kwa ujumla inatakiwa kutumika kuleta wageni nchini kwetu.
Nchi nyingi hazina wanyama na mbuga kama sisi lakini watu watu wanatembelea kwasababu tu kujua utamaduni wa sehemu kama vyakula, mavazi, muziki sasa sisi tumeweka gavana pale wizarani kwa wasanii badala ya kuwasaidia waende mbele zaidi.
Cha kushangaza waigizaji wetu wamekuwa wakiiga picha za Nigeria wakati kuna soko kubwa sana ya picha za wanyama, vitabu vya watoto vya wanyama, lakini badala yake tunjaribu kuiga tu.
Wizara wangezichanganya ingeweza kusaidia. Inabidi tuwe na viongozi wenye maono tofauti.