Ushauri sehemu ya kufanyia field ya Procurement and Supply Management

Ushauri sehemu ya kufanyia field ya Procurement and Supply Management

thee kid

Member
Joined
May 13, 2019
Posts
66
Reaction score
50
Habarini Wakuu, poleni na majukumu

Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza mimi ni mwanafunzi nasoma degree ya Procurement and Supply Management. Nilikuwa naomba mnishauri kampuni au taasisi nzuri za kufanyia field kulingana na programme yangu ya procurement hususani katika mkoa wa Songwe.

Natanguliza shukrani🙏🙏
 
Tafuta taasisi kubwa kubwa za Serikali mfano Tanesco, Airport, Idara ya maji, Hospital etc
 
Back
Top Bottom