USHAURI: Sensa ijumuishe swali la MARITAL STATUS!

USHAURI: Sensa ijumuishe swali la MARITAL STATUS!

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Kutokana na kuongezeka kwa single parents ni muhimu katika tukajua ukubwa wa tatizo. Ili mipango iandaliwe kuwa-support wale wenye uhitaji. Asante.
 
Linaitwa hali ya ndoa, lipo
Asante kwa taarifa. Maana single parents ni kama wanashindana Mjini. Binti anajiachia tu baada ya muda unaona WhatsApp status za malalamiko na vijembe
 
Zitachangia vipi kuleta maendeleo vijijini hasa ya umeme, maji na miundombinu ya barabara??
 
Watu wanalowekwa bila malengo watu wakisepa mbanga zinaanza
 
Back
Top Bottom