and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Aug 14, 2022 #1 Kutokana na kuongezeka kwa single parents ni muhimu katika tukajua ukubwa wa tatizo. Ili mipango iandaliwe kuwa-support wale wenye uhitaji. Asante.
Kutokana na kuongezeka kwa single parents ni muhimu katika tukajua ukubwa wa tatizo. Ili mipango iandaliwe kuwa-support wale wenye uhitaji. Asante.
K kolola JF-Expert Member Joined Apr 26, 2020 Posts 7,185 Reaction score 9,425 Aug 14, 2022 #2 Juma1967 said: Kutokana na kuongezeka kwa single parents ni muhimu katika tukajua ukubwa wa tatizo. Ili mipango iandaliwe kuwa-support wale wenye uhitaji. Asante. Click to expand... Linaitwa hali ya ndoa, lipo
Juma1967 said: Kutokana na kuongezeka kwa single parents ni muhimu katika tukajua ukubwa wa tatizo. Ili mipango iandaliwe kuwa-support wale wenye uhitaji. Asante. Click to expand... Linaitwa hali ya ndoa, lipo
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Aug 14, 2022 Thread starter #3 kolola said: Linaitwa hali ya ndoa, lipo Click to expand... Asante kwa taarifa. Maana single parents ni kama wanashindana Mjini. Binti anajiachia tu baada ya muda unaona WhatsApp status za malalamiko na vijembe
kolola said: Linaitwa hali ya ndoa, lipo Click to expand... Asante kwa taarifa. Maana single parents ni kama wanashindana Mjini. Binti anajiachia tu baada ya muda unaona WhatsApp status za malalamiko na vijembe
balimar JF-Expert Member Joined Sep 18, 2015 Posts 7,743 Reaction score 13,657 Aug 14, 2022 #4 Zitachangia vipi kuleta maendeleo vijijini hasa ya umeme, maji na miundombinu ya barabara??
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Aug 14, 2022 Thread starter #5 Watu wanalowekwa bila malengo watu wakisepa mbanga zinaanza