luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Kuna mchungaji fulani yupo BUZA kwalulenge huwa ana ruka hewani kupitia redio fulani Usiku majira ya saa 4 alfajiri.
Tarehe 7/4/2022 ulitoa mahubiri ya ovyo sana yaliyo ashiria kuzalilisha jinsia KE, niko na audio ya hayo mahubiri.
Lugha uliyotumia ilikuwa ni ya uzalilishaji sanaa.