Ushauri: Serikali ijenge tunnel kati ya soko la Ferry Kivukoni na upande wa pili wa Magogoni

Kama title inavyosema. Hili jambo la kujenga daraja kati ya Ferry na kigamboni kama ni gumu na lina gharama kubwa nashauri serikali ijenge tunnel ya chini ya bahari.
Hili ni wazi zuri sana, yani kukiwa tunnel pale, Kigamboni itakuwa mjini hasa,

Downtown dar itatanuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…