Ushauri: Serikali ilifanye kaburi la Hayati Dkt. Magufuli liwe kumbukumbu ya kitaifa

MUSHEKY

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
2,812
Reaction score
2,760
Assallaam aleykum!

Imepita siku moja toka siku ya kuzaliwa mwamba wa Africa mwendazake John Joseph Pombe Magufuli

Pamoja na wasiompenda kuzungumza mengi sana juu yake, kwa upande wangu nimeona nimkumbuke kwa wema alioutendea umma wa watanzania hasa wasiokua na sauti.

Katika kipindi chake nchi ya Tanzania ilikua kinara Afrika kwa upigaji Vita dhidi ya rushwa.

Ikumbukwe chanzo cha kupiga mark time nchi nyingi za kiafrika Ni kuota mizizi kwa rushwa kwa wale walioaminiwa na kupewa madaraka kisimamia Mali za watu wengi

Najua mnajua rushwa ni Nini. Ila kwa faida ya wengi Rushwa Ni kitendo cha tabaka la watu wachache kutumia ama kufuja Mali zetu tulizowapa watulindie kwa matumizi yao binafsi.

Rushwa pia inaambatana na ununuaji wa HAKI yako wewe mwenyewe uliyopaswa uichukue tu bure kiasili bila gharama yoyote

Aah! tuachane na hayo.

Kipindi chake alitekeleza miradi mikubwa ya kimkakati ambayo Sina haja ya kuitaja hapa na ambayo ilikua Ni ndoto kwa nchi za kiafrika kutekeleza miradi mikubwa Kama hiyo.

Tulipata wageni wengi Marais kutoka pembe mbalimbali za Afrika kuja kumshangaa na kujifunza kwa vitendo (practical training) na kumuuliza the late aliwezaje hayo yote tena kwa kipindi kifupi tu?

Alikaririwa pia na vyombo vya habari Rais mstaafu was awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi akitanabaisha kwamba alichokifanya Magufuli kwa miaka Minne Ni kikubwa kuliko Marais wote waliopita combined

Ni wazi kwamba kwa mradi mmoja tu wa ujenzi waa reli ungekua sifa kubwa kwa mtu Kama Rais kuutekeleza, lakini yalitekelezwa makumi ya miradi mikubwa na Hadi umauti unamkuta nadhani alibakisha takriban vijiji visivyozidi 2000 tu kupata umeme

Ni kweli JPM alitufanya wananchi wa kawaida tutembee vifua mbele kwa kufuta kabisa ile kauli kongwe ya unanijua Mimi Ni nani?

Binadamu wote tulionekana kua sawa kipindi chake japo Kuna ma pro politics wanaowaza kwa kutumia matumbo watapinga tu

Watendaji wote walikua wanyenyekevu kwa wananchi wanaowatumikia kuanzia mahospitalini na maeneo mengine ya huduma za kijamii. Wanawake wanaohitaji huduma za uzazi watakua mashahidi walivyokua wanakula makofi kutoka kwa manesi kabla ya Magufuli era

Mambo Ni mengi muda nichache.

Niiombe serikali yetu sikivu,
kwa Nia ya vizazi vijavyo kuelewa kwamba alitokea mtu wa namna ya Magufuli kwenye nchi yetu, mtu aliyesimama na kutukingia kifua mbele ya mataifa mwewe,

Mataifa yenye makucha makubwa ambayo yalitutawala na kuogelea kwenye rasilimali zetu na Sasa yanarudi tena Afrika kwa njia ya urafiki na uwekezaji

Ni wakati Sasa kwa serikali yetu kuifanya nyumba ya milele ya shujaa huyu kua moja ya makumbusho ya KITAIFA

Ili watoto na mataifa ya Afrika yavune mazuri ya kipekee aliyothubutu mwamba huyu

NB
POVU limo

JamiiForums880173750.jpg
 
Unaonaje ungeenda kupiga kambi pale pale kaburini kabisa mkuu?

Ila nisiache kukwambia huyu shujaa wako pamoja na kina Sabaya wameeleka vilio kwa wengi.

Hicho hapo ni kimoja.

Kwamba Lijenje, Ben, Azory, Mawazo na wa kwenye viroba huko ndiyo sasa usiseme kabisa.
 
Unaonaje ungeenda kupiga kambi pale pale kaburini kabisa mkuu?

Ila nisiache kukwambia huyu shujaa wako pamoja na kina Sabaya wameeleka vilio kwa wengi...
Kaka Mimi kwenye siasa sipo utanisamehe,
 
Upo sahihi.Maendeleo yanayopatikana kwa kuwanyima wengine haki ya kuishi hayo si maendeleo kabisa
Huyu alishakufa,mwacheni apambame na hayo ya huko aliko! Tuna mambo mengi yakufanya..
 
Hiyo definition ya RUSHWA umeitoa wapi?
 
Cha ajabu wapenda democracy watakuja kumwaga mualo hapa wale bwana.l
 
Assallaam aleykum!

Imepita siku moja toka siku ya kuzaliwa mwamba wa Africa mwendazake John Joseph Pombe Magufuli

Pamoja na wasiompenda kuzungumza mengi sana juu yake, kwa upande wangu nimeona nimkumbuke kwa wema alioutendea umma wa watanzania hasa wasiokua na sauti.

Katika kipindi chake nchi ya Tanzania ilikua kinara Afrika kwa upigaji Vita dhidi ya rushwa.

Ikumbukwe chanzo cha kupiga mark time nchi nyingi za kiafrika Ni kuota mizizi kwa rushwa kwa wale walioaminiwa na kupewa madaraka kisimamia Mali za watu wengi

Najua mnajua rushwa ni Nini. Ila kwa faida ya wengi Rushwa Ni kitendo cha tabaka la watu wachache kutumia ama kufuja Mali zetu tulizowapa watulindie kwa matumizi yao binafsi.

Rushwa pia inaambatana na ununuaji wa HAKI yako wewe mwenyewe uliyopaswa uichukue tu bure kiasili bila gharama yoyote

Aah! tuachane na hayo.

Kipindi chake alitekeleza miradi mikubwa ya kimkakati ambayo Sina haja ya kuitaja hapa na ambayo ilikua Ni ndoto kwa nchi za kiafrika kutekeleza miradi mikubwa Kama hiyo.

Tulipata wageni wengi Marais kutoka pembe mbalimbali za Afrika kuja kumshangaa na kujifunza kwa vitendo (practical training) na kumuuliza the late aliwezaje hayo yote tena kwa kipindi kifupi tu?

Alikaririwa pia na vyombo vya habari Rais mstaafu was awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi akitanabaisha kwamba alichokifanya Magufuli kwa miaka Minne Ni kikubwa kuliko Marais wote waliopita combined

Ni wazi kwamba kwa mradi mmoja tu wa ujenzi waa reli ungekua sifa kubwa kwa mtu Kama Rais kuutekeleza, lakini yalitekelezwa makumi ya miradi mikubwa na Hadi umauti unamkuta nadhani alibakisha takriban vijiji visivyozidi 2000 tu kupata umeme

Ni kweli JPM alitufanya wananchi wa kawaida tutembee vifua mbele kwa kufuta kabisa ile kauli kongwe ya unanijua Mimi Ni nani?

Binadamu wote tulionekana kua sawa kipindi chake japo Kuna ma pro politics wanaowaza kwa kutumia matumbo watapinga tu

Watendaji wote walikua wanyenyekevu kwa wananchi wanaowatumikia kuanzia mahospitalini na maeneo mengine ya huduma za kijamii. Wanawake wanaohitaji huduma za uzazi watakua mashahidi walivyokua wanakula makofi kutoka kwa manesi kabla ya Magufuli era

Mambo Ni mengi muda nichache.

Niiombe serikali yetu sikivu,
kwa Nia ya vizazi vijavyo kuelewa kwamba alitokea mtu wa namna ya Magufuli kwenye nchi yetu, mtu aliyesimama na kutukingia kifua mbele ya mataifa mwewe,

Mataifa yenye makucha makubwa ambayo yalitutawala na kuogelea kwenye rasilimali zetu na Sasa yanarudi tena Afrika kwa njia ya urafiki na uwekezaji

Ni wakati Sasa kwa serikali yetu kuifanya nyumba ya milele ya shujaa huyu kua moja ya makumbusho ya KITAIFA

Ili watoto na mataifa ya Afrika yavune mazuri ya kipekee aliyothubutu mwamba huyu

NB
POVU limo
Kaburi la Nyerere haliheshimiwi au kuvutia kwa utalii,kwa sababu tu Nyerere,alikuwa Raisi.
Zipo sifa.Ni Raisi wa kwanza wa TZ.
Ameongoza kampeni za Ukombozi kusini mwa Afrika.
Alikikuza kiswahili.
Msomi mzuri,wa kiswahili na kizungu,alitafsiri novel ya Shakespeare.
Misingi ya nchi hii aliijenga yeye.
Sasa huyu shetani Maghu mnataka tumkumbuke kwa lipi?majambazi ya wasio jurikana?
Uporaji wa mali za watu?
Ubaguzi wa kikabila?
 
View attachment 1992003
Mkuu utakuwa na minyoo, sio bure.
 
Yan yote niliyoainisha aliyofanya hapo hujaona hata moja? Kweli kuona Ni kuamua
 
Kwa nini CAG ASAD aling'olewa?? Shabaha ilikuwa kuficha nini?
 
Back
Top Bottom