Ushauri: Serikali ilifanye kaburi la Hayati Dkt. Magufuli liwe kumbukumbu ya kitaifa

Sheikh uko serious kabisa
 
Tumshukuru Mungu kwa kila jambo.
 
Kuna wazalendo wengine pia.Marehemu Nyerere,na Sokoine. nadhani tutakubaliana Hawa ndio walifanya kazi kiuzalendo wakati wa uhai wao
 
Ccm inawanyewe jiwe aliingia kichwa kichwa
Aliingiaje kichwa kichwa kwa hao wenyewe, ilitakiwa wampe Lowassa how come mlilia lia mpate Rais asiye cheka cheka na kikwete kuwaambia haya nimewaletea asiye cheka cheka leo unatokwa na povu mh🤔!.

Although hao wenyewe ccm hawakujua kuwa Magufuri siyo mwenye ccm mpaka kumpa kijiti?.

Ondoa maovu potofu kijana!.
 
Mlisema Lowasa mgonjwa sasa Kati ya Lowasa na yye nani mgonjwa
 
Vile mwendakuzimu amefurahia uzi wako huu kutokea huko kuzimu😁😁😁
 
Mkuu Kama wote tutakua na mitazamo inayofanana si utakua uzwazwa huo

Acha niwe tofauti na wewe mmeza albendazol
Kwa hiyo leo unajua kuwa na mitazamo iliyo tofauti ni jambo jema?

Je kwann Magu alikua anapoteza walio mpinga?
 
Kwani sasa ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…