lowale
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 209
- 108
Kwa vile COVID 19 imeharibu uchumi je serkali haioni kama ikipunguza ushuru wa kuagiza magari nje watu wengi wataweza kuagiza Gàri na pato litapanda?
Lakini kodi ilivyo kubwa watu waliokuwa na nia ya kuingiza magari wanakwama kwa vile uchumi wa mtu binafsi umeyumba
Lakini kodi ilivyo kubwa watu waliokuwa na nia ya kuingiza magari wanakwama kwa vile uchumi wa mtu binafsi umeyumba