Ushauri: Serikali inaweza kupandisha mapata kwa kupunguza ushuru wa kuagiza magari toka nje

lowale

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Posts
209
Reaction score
108
Kwa vile COVID 19 imeharibu uchumi je serkali haioni kama ikipunguza ushuru wa kuagiza magari nje watu wengi wataweza kuagiza Gàri na pato litapanda?

Lakini kodi ilivyo kubwa watu waliokuwa na nia ya kuingiza magari wanakwama kwa vile uchumi wa mtu binafsi umeyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…