Baada ya ile operesheni ya Mhe. Jakaya Kikwete katika hawamu ya nne na kwa kuzingatia ule ushauri uliotolewa na mkuu wa majeshi CDF ,serikali inahitaji kuchukua hatua za haraka sana iwezekanavyo.
Kwa sasa nchi nyingi duniani zinakumbwa na machafuko na ghasia kutokana na wahamiaji haramu. Mara nyingi hawa watu wakikimbia kutoka kwenye nchi zao kutokana na sababu mbali mbali kama vile vita n.k ,hutaka kulazimisha kuingiza utamaduni wao katika nchi husika.
Ni vyema serikali ya Tanzania kuja na operesheni mpya ya kuwasaka wote kuanzia sehemu za kazi, mitaani na kwingine na kuwarudisha kwao.
Kuwarudisha wakimbizi waliopo kwenye kambi za wakimbizi haitoshi, hata huku mtaani serikali inatakiwa kuja na mkakati thabiti wa kuwatambua na kuwarudisha kwao.
Lengo kuu la ushauri wangu ni la kiulinzi, usalama na amani ndani ya nchi yetu kwa sasa na miaka ijayo.
Tiba ni bora kuliko kinga tusichelewe sana.